Baada ya mpango wa kujenga visima kukwama ndani ya Chadema, Sabodo kaja na mbinu mpya

hawa ndio wanadandia gari moshi kwa mbele, hi story ya siku nyingi sana, walichofanya jana ni kumkabidhi tu kibari cha ujenzi

Mkuu kwa hiyo wewe ulikuwa utaki Sabodo ajenge jengo hilo wala asilalamike pesa zake kuliwa?
 
mkuu jiheshimu basi ni kweli sabodo anataka kujenga kitega uchumi but alisema asilimia 10% ya mapato kwenye jengo hilo yatatumika kujengea visima, chadema wameingiaje hapo mkuu!?

Mkuu unauliza Chadema wameingiaje wakati Mzee Sabodo kaishatoa zaidi ya milioni 300 wajenge visima vyama maji mpaka sasa kimya hakuna hata kisima kimoja.
 
Wanabodi. Baada ya mpango na mikakati ya Kada wa CCM Mustafa Sabodo, ya kujenga visima ambavyo vitasimamiwa na Chadema kuwa hadithi baada ya kupewa milioni 200 na hakuna dalili zozote za ujenzi wa visima. Mustafa Sabodo kaja na mpango mpya wa kujenga visima , Manispaa ya Ilala imemkabidhi kibali cha ujenzi wa maegesho ya magari Dar es Salaam. Jengo hilo ambalo litakuwa la ghorofa 10 litagharimu zaidi ya Sh5 bilioni, huku likitarajiwa kuchukuwa magari 180 kwa wakati mmoja, baada ya kukamilika ujenzi huo na kuanza kufanya kazi fedha zitakazopatikana zitatumika kujenga visima vya maji vijijini. Habari zilipatikana kutoka kwa familia ya Mustafa Sabodo, ameamua kutumia mpango huo baada ya vyama vya siasa kutafuna pesa za visima ambavyo Sabodo alitoa.
mkuu jiheshimu basi ni kweli sabodo anataka kujenga kitega uchumi but alisema asilimia 10% ya mapato kwenye jengo hilo yatatumika kujengea visima, chadema wameingiaje hapo mkuu!?
 
si unaona safar za slaa nje zmeongezeka? Chama hakina hata vyanzo vya mapato unategemea nin c wanatafuna tu hzo
 
si unaona safar za slaa nje zmeongezeka? Chama hakina hata vyanzo vya mapato unategemea nin c wanatafuna tu hzo

Unataka wawe na vyanzo kama vya nyinyiem,vile vya biashara ya unga,ujangili na wizi wa raslimali za taifa? hujui ulinenalo zaidi unaropoka tu
 
Mkuu kwa hiyo wewe ulikuwa utaki Sabodo ajenge jengo hilo wala asilalamike pesa zake kuliwa?

Naona wewe ndo mke wake na alilalamika mkiwa naye kitandani. lakni hiyo propaganda mbona ilishabuma kitambo,mnaoneka mumeishiwa majungu, CDM IPO NA ITAKUWEPO,NI MPANGO WA MUNGU HUO UPENDE USIPENDE.
 
Replacement ya Mv Bukoba Rais Kikwete ameshaipeleka Kagera?na Machinga Complex ktk kila wilaya za Ilala,Temeke na Kinondoni zimeshajengwa?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jamani to be honest binafsi sielewi mpango huo wa Visima hivyo alivyodhamin Sabodo umeishia wapi? Najua JF hakukosi kitu so mwenye taarifa juu ya utekelezaji wa mpango huo wa hivyo visima na wapi mpango huo umefikia mpaka sasa atujulishe Tafadhari.
 
pesa za visima; wenye meno wamezitafuna.
 
Wanabodi.

Baada ya mpango na mikakati ya Kada wa CCM Mustafa Sabodo, ya kujenga visima ambavyo vitasimamiwa na Chadema kuwa hadithi baada ya kupewa milioni 200 na hakuna dalili zozote za ujenzi wa visima.

Mustafa Sabodo kaja na mpango mpya wa kujenga visima , Manispaa ya Ilala imemkabidhi kibali cha ujenzi wa maegesho ya magari Dar es Salaam.

Jengo hilo ambalo litakuwa la ghorofa 10 litagharimu zaidi ya Sh5 bilioni, huku likitarajiwa kuchukuwa magari 180 kwa wakati mmoja, baada ya kukamilika ujenzi huo na kuanza kufanya kazi fedha zitakazopatikana zitatumika kujenga visima vya maji vijijini.

Habari zilipatikana kutoka kwa familia ya Mustafa Sabodo, ameamua kutumia mpango huo baada ya vyama vya siasa kutafuna pesa za visima ambavyo Sabodo alitoa.

Tusiwe watovu wa ukweli.........

https://www.jamiiforums.com/chaguzi...1-igunga-na-kafumu-haonekani-tena-igunga.html
 
Back
Top Bottom