Baada ya mpango wa kujenga visima kukwama ndani ya Chadema, Sabodo kaja na mbinu mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya mpango wa kujenga visima kukwama ndani ya Chadema, Sabodo kaja na mbinu mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, May 28, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Wanabodi.

  Baada ya mpango na mikakati ya Kada wa CCM Mustafa Sabodo, ya kujenga visima ambavyo vitasimamiwa na Chadema kuwa hadithi baada ya kupewa milioni 200 na hakuna dalili zozote za ujenzi wa visima.

  Mustafa Sabodo kaja na mpango mpya wa kujenga visima , Manispaa ya Ilala imemkabidhi kibali cha ujenzi wa maegesho ya magari Dar es Salaam.

  Jengo hilo ambalo litakuwa la ghorofa 10 litagharimu zaidi ya Sh5 bilioni, huku likitarajiwa kuchukuwa magari 180 kwa wakati mmoja, baada ya kukamilika ujenzi huo na kuanza kufanya kazi fedha zitakazopatikana zitatumika kujenga visima vya maji vijijini.

  Habari zilipatikana kutoka kwa familia ya Mustafa Sabodo, ameamua kutumia mpango huo baada ya vyama vya siasa kutafuna pesa za visima ambavyo Sabodo alitoa.
   
 2. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kakojoe. Kisha ukalale huu ni usiku kwako.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  visima mbona vinajengwa na tumeshuhudia wenyewe?? nyie watu mnaishi ulaya afu mnajidai mnajua habari za tz...
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hawa watu wa ccm wamefikia mahali vichwa havitumiki tena kwenye kufikirii bali matumbo yamechukua nafasi hiyo.
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Visima vimejengwa wapi ebu tuambie sehemu ambazo vimejengwa hivyo visima...Mzee Sabodo, asingelalamika.
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wanaishi ulaya??
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kiongozi naona kama umeungaunga kidogo hii story. Mzee Sabodo anajenga maegesho Ilala kwa gharama ya shs 5bn. Manispaa ya Ilala inatarajia kutumia 'parking fee' (gharama za kuegesha gari) ili kujenga visima vya maji katika manispaa yao ya Ilala. Hivyo visima vitajengwa kutokana na parking fee na sio hizo shs 5bn.
   
 8. M

  MADABADA Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ritz komaa na business hizi propaganda huwezi ndg yangu.Kama Nape kashindwa itakuwa wewe? Any way jaribu!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Kiongozi hilo jengo litakuwa chini ya Taasisi ya (KSIJ) sasa hiyo habari sijui umeipata wapi...ebu nisome vizuri tena mstari kwa mstari.
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Sasa Tanzania hii nani sio muongo na mtafunaji wa mali za wengine?
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  MADABADA,
  Wewe! Nape ndio unamugopa sana? Nape ni kijana mdogo tu watu tunamtuma sokoni tu.
   
 12. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  kweli akili yako ikitawaliwa na fikra za ccm unaweza kuambiwa kula mavi yako ukakubali maana ndivyo akili ilivyo
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu jiheshimu basi ni kweli sabodo anataka kujenga kitega uchumi but alisema asilimia 10% ya mapato kwenye jengo hilo yatatumika kujengea visima, chadema wameingiaje hapo mkuu!?
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mzee Sabodo ni mtu mmoja makini sana...hujue kaishawapa Chadema zaidi ya Milioni 300 kwa ajili ya ujenzi wa visima vya maji, Sabodo katoa pesa hizo baada ya uchaguzi wa Igunga, lakini mpaka leo hakuna hata kisima kimoja kilichojengwa na Chadema.
   
 15. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,739
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Incredible, Riz.

  Your inept government has failed to deliver the obvious, now your sick mind tells you to excite on Sabodo's (i.e. individual) endeavors.

  Get it Riz, 50+ yrs ccm has failed in everthing by truest sense of the word. CDM hadly has 0.01 of you yet you come-up with spinless propaganda. Facts you won't turn the tide now
   
 16. h

  hans79 JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Haijalishi mbona yeye mwenye chake u kimya, au weye ndo wale ----------------.
   
 17. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Jana nimesikia Mzee Peter Kisumo amemuvua uanachama wa CCM mzee Sobodo. Mbona wewe Ritz bado unamuita kada wa CCM?
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mdogo wangu afadhali kuchakaa nguo kuliko kuchakaa akili...nguo unaweza kwenda dukani kununua akili je?
   
 19. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hawa ndio wanadandia gari moshi kwa mbele, hi story ya siku nyingi sana, walichofanya jana ni kumkabidhi tu kibari cha ujenzi
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Increadibility Ronal Reagan.

  He who ridicules the good will be overtaken by evil..
   
Loading...