donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Baada ya kutoka kwenye dominika ya 5 ya Pasaka.
Ni jambo la kupendezaMini nikitoka kwenye mkesha wa pasaka siendi nyumbani Bali naenda kupiga vyombo mpaka asubuhi..
Baada ya kutoka kwenye dominika ya 5 ya Pasaka.View attachment 1101927
Safi beer tamu[emoji23][emoji23]Baada ya kutoka kwenye dominika ya 5 ya Pasaka.View attachment 1101927
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora usingeenda maana sadaka ungeongezea Bia nyingine
Saana mkuuSafi beer tamu[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kapotezA mda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mkuu ukitoka church huwezi piga vikali hata ukirudi home maswali hayawi mengiHivyo vi castle naweza kuvipiga hata 30 nisiyumbe......
Nadhan kwenye chupa hiyo kutakuwa na juice tuBaada ya kutoka kwenye dominika ya 5 ya Pasaka.View attachment 1101927
Shetani ana nguvu sanaBaada ya kutoka kwenye dominika ya 5 ya Pasaka.View attachment 1101927
Kweli mkuiNadhan kwenye chupa hiyo kutakuwa na juice tu
Haaaa a haaaa haaaa jamani nimechekaKazi kwelikweli View attachment 1102251