nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Nina mwanamke nimedumu naye miaka miwili lakini tatizo ni kwamba simpendi tena, kwakweli binti anatabia nzuri mkarimu na anajua kujishusha. Mimi mwenywe sijawahi kicheat lakini nimekuja kujigundua vitu navyopenda kwa mwanamke ni mwanamke mwenye miguu mizuri(ya bia) mahips na makalio.
Vitu hivyo mimi nikiviona basi nakua hoi, tatizo niliye naye hana hizo sifa za kunisisimua naogopa kumwacha sababu hajanikosea na wala sitarajii aje kunikosea mbeleni, she is loyal tatizo kwa sasa tu ndo hilo hanivutii. Je nifanyeje?
mjomba kuniuliza kwanini nilimtongoza na hana vigezo vyangu ilitokea tu bahati mbaya.
Je kuna mtu alishapitia hii hali?