Baada ya miaka 800 sayari ya jupiter na saturn kukutana

Baada ya miaka 800 sayari ya jupiter na saturn kukutana

Itatokea muda gani?? Usiku au mchana??
Saa ngapi?

Kukutana kwa maana ya ku-collide au kuwa katika straight line??
 
Dah...
Dunia sijui itakuaje upande wa technolojia kipindi hiki. Watu watakua wengine wanaishi sayari zingine na kwenda mars itakua ni kama kwenda mbagala. Watakua watu wanafanya kazi tz wanalala marekani.
 
"Zitakutana" unataka kumaanisha nini? Zitagongana?
Ili sayari mbili zikutane, lazima zihame kwenye orbits zake, yaani zibadilshe njia zake. Ilii hiki kitu kitokee, lazima pia kuwe na mabadiliko ya nguvu ya uvutano kwenye mfumo mzima wa jua, na possibly kwenye universe yote.
 
Back
Top Bottom