Walioukamia sana u rais na kusemwa sana hawakuupata.
Aboud Jumbe Mwinyi.
Edward Moringe Sokoine.
Salim Ahmed Salim.
January Makamba.
Edward Lowassa.
Halafu wakaja watu ambao hata hawakufikiriwa wakawa marais.
Ali Hassan Mwinyi.
Benjamin William Mkapa.
John Pombe Magufuli.
Samia Suluhu Hassan.
Tanzania mtu pekee aliyeweza kupita mtihani wa kutajwa sana urais na kuwa rais ni Jakaya Mrisho Kikwete tu, na yeye alianza kwa kupigwa chini Wizara ya Mambo ya Nje kwa miaka 10 kwanza.