Mr dark light
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 298
- 253
Wakuu habarini
Nilikuwa nacheki matokeo ya dogo ila karibia nusu ya darasa akiwemo dogo wamekewa alama *E na hakuna matokeo, sasa nataka kujua inamaanisha nini? Ada tulimaliza mapema ktik shule husika,
Sent using Jamii Forums mobile app