Baada ya malalamiko ya muda mrefu, hatimaye Serikali imeanza kutoa motisha kwa Walimu wa Sayansi

Afya kuzuri sn
 
Mbona hakuna kilichoongezwa sasa?
 
Mkuu mpo wengi lakini mnapelekwa kama nyumbu
Tanzania hii ya sasa hakuna asiyepelekwa hata maprofesa wamaufyata kimya, wafanyabiashara wanalia, wakulima wa korosho. Nitajie kada ambayo haipelekeshwi
 
Umewaza kusahihisha na kupanga matokeo au hizo unazodai anapumzika hafanyi hayo niliyoyaandika?
 
Si kweli, Mwalimu wa sayansi na wa art wote wapo kwenye scale moja ya mshahara.
 
Si kweli, Mwalimu wa sayansi na wa art wote wapo kwenye scale moja ya mshahara.
Viongozi wenu maboya! Scales za mishahara zilibadilishwa kitambo kwa watumishi WOTE!!! Na walifanya hivyo ili kuvutia wanafunzi kwenda kusomea ualimu wa sayansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…