Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

mayala kuna wakati nakuona kichwani haupo vzr, ni kama kuna vipindi unatakiwa utumie "dawa za kichwa"
makonda hafai kuongoza popote na hana sifa unazosema wewe! Kumbuka uovu uliopitiliza aliofanya wakati wa Magu!
 
Safari inaendelea Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawe atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi
P
 
Sawa, ila pasiwepo na utekaji, watu kupotea, na mauaji yanayofanywa na wasiojulikana. Ubabe ruksa kwa mambo ya kujenga nchi ila hayo mengine hayatatakiwa
 
Wanasheria wa kisasa bana! Yani learned brother unashabikia impunity? Lawlessness? Majitu yasiyoheshimu sheria ndio yanapigiwa madebe na maattorney wa kileo? Ukabila? Mwenzenu? Au ndo uchawa uliopitiliza?
 
Mwenyezi Mungu akitujalia uzima nitapiga kura yangu kwa mara ya pili baada ya kumchagua Magufuli 2015 na nitamchagua Paul Makonda kuwa Rais wa Tanzania.
 
UKIONA MABADILIKO YANAFANYIKA MARA KWA MARA SABABU NI MAJUNGU NA UMBEA ,KIONGOZI UKIWA UNASIKILIZA MAJUNGU BILA KUANGALIA KPI ZA UNAOWATEUA UTAISHIA KILA MWEZI KUVUNJA NA KUPANGA UPYA
 

Wampe Uwaziri Mkuu
 
Mzee baba, pascal unaonaga mbali! Hii makala ni ya siku nyingi uliandika, mjuba makonda anakikaribia kiti hicho, wamlinde tu na kashfa pamoja na zile ajali za kisiasa kuchafuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…