Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Ngoja tuwasubir kesho watareact vipi maana washapanic coz now kama ni mpira tunaongoza kwa ball posesion
Sio ball position tu, na goal 7-0.
Teh teh raha sana kwakweli hii siku ya leo nitaiandika katika diary kwa wino mwekundu!
 
Sio ball position tu, na goal 7-0.
Teh teh raha sana kwakweli hii siku ya leo nitaiandika katika diary kwa wino mwekundu!

Ni bahati iliyoje...
Kesho nikachukue kichinjiochangu..cha octoba
 
Haiwezekani manabii wa Mungu wamtabirie nyie mumkatishe kirahisi kiasi hicho. Asante sana raisi wetu mtarajiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…