Baada ya Kuzuia Tangazo, TBC yajikosha kwa Policy Forum!

Ukabila umezidi TBC, utakutana na Mtangazaji wenu ........MHANDO..............habari za biashara................mhando, habari za michezo................Mhando.Utabiri wa hali ya hewa ............mhando.Mhando all the way shame upon him na his family.
Editor lazima alikuwa Mhando..............
 
"Muda umewadia, Dr. W. SLAA amefika, mkombozi wa kweli ameingia"



Duh, yaani Dk. Slaa ni mkombozi wa kweli. I think we are not serious. Nadhani ipo siku watu watamuona hata Joseph Kony ni wa maana.
 
12.jpg


''By all means Sir'' he must have said....like a dunderhead

One of those yes felons! The body language tell it all. Poor you Tido!
 
mimi naamini kuna walakini kidogo either kwenye mfum,o wa elimu ya Ndugu Tido, inamnyima Uhuru wa kufikiri, anakuwa mtumwa wa mawazo na uhuru wake.
BBC alipata Ujira mzuri katika nafasi bora, jamaa anabahati kuliko Taaluma na elimu yake kwa ujuml;a.
 
"Muda umewadia, Dr. W. SLAA amefika, mkombozi wa kweli ameingia"



Duh, yaani Dk. Slaa ni mkombozi wa kweli. I think we are not serious. Nadhani ipo siku watu watamuona hata Joseph Kony ni wa maana.

Chagua Slaa kiongozi makini

Usichague Kikwete anayedanganywa danganywa.
 
"Muda umewadia, Dr. W. SLAA amefika, mkombozi wa kweli ameingia"



Duh, yaani Dk. Slaa ni mkombozi wa kweli. I think we are not serious. Nadhani ipo siku watu watamuona hata Joseph Kony ni wa maana.
Ukimlinganisha na JK au Makamba.
 
TBC internal guidelines:

1) DONT broadcast anything that comprises CCM victory

2) Declare JK to be the winner and Dr Slaa the loser

3) Broadcast all family issues about Dr Slaa

4) Uplift CUF and dont tell what Slaa stands for

5) Ndiyo mzee

Kwa guidelines hizi bila shaka TBC ni impartial na chombo cha habari cha kupigia mfano


And what about the dehumanizing claims about the editor...A public broadcast house editor who is NOT COMPETENT...Analipwa mshahara wa serikali huyo...na aliajiliwa vipi huyu? Laughable!
 



Nilipokuwa mimi shuleni niliwahi kumuuliza Mwalimu wangu swali kama hilo,na alishindwa kunijibu ama kweli kasheshe kweli. Nauliza swali je wewe ungelikuwa ndio Mwalimu wa huyo mtoto ungelijibu vipi hilo swali? naomba majibu wakuu wangu mnaotazama hii Video asanteni.
 
Last edited by a moderator:
Aiseeh! mbona hili tangazo zuri sana na lilipaswa kuangaliwa na kila mtanzania! CCM ndio watakuwa wamelibania lakini maudhui yake ni sahihi kabisa.
 
ni tangazo zuri sana na hata katika hali ya kawaida mtu ukijiuliza hupati jibu...kwa nini wamelizuia?
 
Yule jamaa ni Jakaya ameshindwa kujibu kwa nini Tanzania ingali maskini wakati ina rasilimali bwelele. Halijazuiwa hili tangazo, nimeliona jana kwenye kituo kimojapo cha runinga.
 
mi nadhani wamezuia ni hila za ccm kuficha makucha yao,tangu lini rais akawa hajui chanzo cha umaskini wa nchi yake si ufirauni huo?
 
TBC ndo wameacha kulipiga bse linaidharirisha serikali ya CCM ila TV zingine kama star na itv pamoja na CH TEN wanaendelea
 
tangazo zuri na majibu yapo sema jinsi ya kujibu,kwanini TBC wamelibania inamaana serikali haitakiwi kuulizwa maswali ya msingi?sioni logic ya wao kulizima tangazo.
binafsi nishajiuliza sana kwanini watz sie ni choka mbaya wakati tuna rasilimali za kutukomboa,mi naona jibu ni moja tu hatuna uongozi bora tangu zamani na viongozi wengi hawako seriuos katika kuikomboa nchi kikweli.
na ni serikali imekuwa ikituongoza tangu zamani jibu ni moja tu, ya resolution ya agenda ni kitu gani?jibu ni moja tu 31st oct
 
Back
Top Bottom