Baada ya kuuzima mchina wangu, nimerudi Analog

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,485
wp_ss_20160616_0002.png
 
Sipati picha yule aliyepewa kazi ya kubonyeza button ya kuzima simu feki atakuwa anafanya nini muda huu. Huenda anapiga push ups au anapata kitwanga zake bariidi!

Atakuwa amelala sasa hivi ili apate nguvu ya kufanya huo umafia wake.
 
Sipati picha yule aliyepewa kazi ya kubonyeza button ya kuzima simu feki atakuwa anafanya nini muda huu. Huenda anapiga push ups au anapata kitwanga zake bariidi!
atakuwa ameishikilia switch. huku anaitizama saa yake kwa hasira kama vile inamchelewesha
 
Back
Top Bottom