Akilitime
JF-Expert Member
- Dec 27, 2017
- 581
- 763
Mimi Iam........,mimi am struggle until today. nimeumia sana na naendelea kuumia. natamani kutoka nawaza watoto niwaache walelewe na mwanamke mwingine haiwezekani. upendo wote umeisha. Alichonifanyia kwangu ni unforgettable.
niligundua anapost picha za mchepuko wake kwenye social media moja ambayo sikuwa na access nayo. siku nashika simu yake nafungua nakuta amempost halafu hakuna hata pic yangu moja aliyowahi kupost. kwa kweli moyo ulipasuka, nikajua mchepuko unapendwa kuliko mke. natamani kuondoka lkn nawaza wanangu. nimestuck!
Spanish English or?