themanhimself176
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,836
- 2,921
Saa unataka nifanyaje?
Perfect,this is all about what I wanted you to share with us bro...kikawaida unatakiwa usi unyime moyo wako amani na furaha kwa ajili ya jambo moja linalo kuumiza kwa kuzingatia yafuatayo
ishi kwa kujua kila jambo hupangwa na mungu na kila kitu hutokea kwa sababu....
accept your past without regret,
live your present with confidence n
face your future without fear,,, hiyo itakusaidia
pia train your mind to see good in every situation u meet,
jifunze kujisamehe mwenyew kwa kila unalo kosea,,,
acha kuishi maisha ya jana, kumbuka haina nafasi tena katika maisha yako waza kesho njema na yenye tumain
kwa pamoja tunawezaPerfect,this is all about what I wanted you to share with us bro...
Thanks a lot.
Noted budahThings happen for reason.
Ingawa inauma lakini hupaswi kujilaum zaidi kusonga mbele.life goes on.
Haya ni mambo common ambayo nadhani %kubwa wanayapitia.hivyo cha kujiambia kwamba hauko mwenyewe na kama wao waliweza ku give up na maisha yakaendelea why me!unakuta mtu analia na kujizira kisa kuachwa.kuna sehem lazima uyape maisha nafasi zaidi ya mapenz
Mkuu mie sijui nikoje sio kama napenda ila moyo wangu hua nikipenda napenda na hata mtu aje anambie kua una cheat ntakuja kwambia ila sisemi nani kanambia,lakini nikija kukufuma ujue ndio basi its Over hajuna cha vikao wala nini vikao kaeni nyie mie am done, sasa mtu kama huyo bado anakuomba msamaha bado unakubali? amesha kuonyesha uchafu kama huo?mie kwetu walirudisha Mahari ya watu nilikataa kabisaaaa hata vikao sijui utapata mkosi sijui nini nikawambia bora nikose kuliko kuolewa na Mbwa huyu..Kumbuka kuwa tunapaswa kusamehe saba mara sabini mkuu.
Kusahau ni jambo jema ila nafikiri kusamehe ni jambo zuri zaidi.
Duh,naamini mtu anaweza kukusaliti kwa bahati mbaya(chukulia dada wa kazi labda kanona anavutia mtoto mashalaa ukimwangalia tu mnara unasoma full) kisha akakiri,akajuta na kukuomba msamaha kisha akaacha.Mkuu mie sijui nikoje sio kama napenda ila moyo wangu hua nikipenda napenda na hata mtu aje anambie kua una cheat ntakuja kwambia ila sisemi nani kanambia,lakini nikija kukufuma ujue ndio basi its Over hajuna cha vikao wala nini vikao kaeni nyie mie am done, sasa mtu kama huyo bado anakuomba msamaha bado unakubali? amesha kuonyesha uchafu kama huo?mie kwetu walirudisha Mahari ya watu nilikataa kabisaaaa hata vikao sijui utapata mkosi sijui nini nikawambia bora nikose kuliko kuolewa na Mbwa huyu..
Ivi ningemsaliti na house boy angeelewa kweli? au yeye ndio mwenye moyo mie sina? mkuu apana hua nasikia kichefu chefu flani hivi sijui hua namuonaje tena namuhisi ananuka kama harufu flani hvi ya kizee..Duh,naamini mtu anaweza kukusaliti kwa bahati mbaya(chukulia dada wa kazi labda kanona anavutia mtoto mashalaa ukimwangalia tu mnara unasoma full) kisha akakiri,akajuta na kukuomba msamaha kisha akaacha.
Sasa huoni kutokumsamehe kwa kosa moja utakuwa umemuumiza zaidi kuliko ulivyoumia wewe mkuu?
Aisee una msimamo mkali sana mkuu.Ivi ningemsaliti na house boy angeelewa kweli? au yeye ndio mwenye moyo mie sina? mkuu apana hua nasikia kichefu chefu flani hivi sijui hua namuonaje tena namuhisi ananuka kama harufu flani hvi ya kizee..
Kweli mkuu...ila wakati mwengine bora hata usijue...maana inaweza kukufanya ukaishi kwenye barafu ya moto...Bahati mbaya sana wengi tukikutana na wakati mgumu huwa hatutafuti kujua sababu ya hayo kutokea bali ni kujilaumu na kujiona tumepoteza thamani mbele ya jamii.
Kumbe hapana,ni suala tu la kumwomba Mungu kutupa uwezo wa kujua sababu ya hayo yote.
Hapana na sio najisifu ila hua nna wivu sanaaaa kwa changu na sipendi ku share na mtu,changu nataka nile mwenyewe..Aisee una msimamo mkali sana mkuu.
Hivi wewe huchepuki kabisa hata kwa bahati mbaya?
Ni njia nzuri ila kuitekeleza ni zaid ya kujaribu kutokuziona nyeti zako ukiwa unaogaKuna kanuni inaitwa move on
Hii husaidi yaani unajipanga kuendelea na maisha mengine na kiukweli hii imesaidia wengi kuliko kuendelea na mpambano eti kugain your love back huku ukiendelea kuumia
Usipate depression za bure .ww move on utafanikiwa
Maamuzi ya kulitatua hilo yapo na wewe mwenyewemimi am struggle until today. nimeumia sana na naendelea kuumia. natamani kutoka nawaza watoto niwaache walelewe na mwanamke mwingine haiwezekani. upendo wote umeisha. Alichonifanyia kwangu ni unforgettable.
niligundua anapost picha za mchepuko wake kwenye social media moja ambayo sikuwa na access nayo. siku nashika simu yake nafungua nakuta amempost halafu hakuna hata pic yangu moja aliyowahi kupost. kwa kweli moyo ulipasuka, nikajua mchepuko unapendwa kuliko mke. natamani kuondoka lkn nawaza wanangu. nimestuck!