Baada ya kutoka jela, Binti Kiziwi aolewa...

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,378
Mmh! Ila kuna watu wana bahati zao mjini, shostito kasota jela miaka 8 katoka Hata Mwaka hana watu washachukua jiko, khaa. Wenzangu na mie akina chakubimbi tutaishia kuroga na kuiba waume za watu kuolewa hatuolewi, mxieew

Na mie toka nianze ushirikina mwaka juzi natafuta ndoa sipati, naishia kua mpango wa kando. Huyu mganga wangu jaman looh , inabidi nimtafute mganga wa cheupe dawa sikubali na mimi .

Roho inaniuma hapa nimevunja sana nazi njia panda usiku wa manane, nimepigwa chale mpka makalion warumi mie , hata ndoa ya mkeka sina mxiew..

IMG_2049.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahahah , binamu unanigeuka, Kwan jinsia yangu ulikua huijui, acha utan mpwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nishasema mimi na wewe habari za Mpwa zishakufa rasmi maana haiwezekani kumsalandia Mpwa... Mimi na wewe ni mabinamu, na kulana ni rukhusa!

Ila tuache masihara binamu, zamani jinsia yako ilikuwa ni researchable topic!!
 
Nimechoka kudanga, nataka kuolewa huu mwaka

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hayo sasa ndo mambo... Wacha kwanza nimuulize shangazi ikiwa inaswihi kuchukua binamu jumla, akisema ni haramu kwa sababu binamu ni nyama ya hamu tu basi huo uendawazimu wako wa kutaka kuolewa itabidi uuweke kando kwa muda... hadi tukulane kwanza vya kutosha ndo uanze hizo habari zako!
 
Siku hiz kila kitu ruksa , kazi kwako tu, ukichelewa wanaume wa JF watafanya yao, shaur zako

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom