MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,139
- 3,227
Iko AutoPunguza contrast
Ndo natumia still bado.Tumia anti blue ray glass sema nna wasiwasi probably yatakuwa matatizo yako binafsi hayahusian na simu uliwahi kujiuliza hivyo
Huku wanaita Reading mode ndo natumiaUwe unatumia eye comfort au eye protection sijui simu nyingine wanaita hivo. Pia iwe na automatic display ibadili intensity ya mwanga kwenye settings na hapo itatunza chaji zaidi.
Nakumbuka uzi wako ule tulishauriana simu.
Sina matatizo ya macho mkuu, wala matatizo ya kichwaTumia anti blue ray glass sema nna wasiwasi probably yatakuwa matatizo yako binafsi hayahusian na simu uliwahi kujiuliza hivyo
Nimeweka Auto brightness na ndo natumia siku zoteBaadhi ya vioo vya OLED vinakua na PWM (Pulse-width modulation) flickering. Vioo vya vya electronic devices vinatumia PWM kucontrol brightness ambapo kinakua kina switch ON and OFF kwa haraka sana. Ssa kuna baadhi ya watu (kama wewe) wanakua wapo sensitive sana na hii ON & OFF kiasi cha kwamba unakua unaona kma display ina cheza cheza. Kwenye OLED ni vigumu kuona display inacheza cheza ila inakua inakuumiza macho na kichwa. Kwenye LCD ndio utaona inacheza cheza. Mara nyingi simu za bei rahisi ndio zinakua na hili tatizo, unakua unaona kma mwanga kwenye kioo unacheza cheza.
Ushauri ni kwamba usipunguze brightness mpka chini au mpaka juu ukiwa unatumia simu ndani au usiku. Tumia brightness ya wastani tu
Sina matatizo mkuu, matatizo yameanza baada tu ya kutumia hii simu.Mkuu itakua unashida ww mwenyew...
Nipo na note 10 hapa sjawah umwa hata sikio..
Pole sana mkuu..endelea kutafit ujue shida ninSina matatizo mkuu, matatizo yameanza baada tu ya kutumia hii simu.
Sina matatizo mkuu, matatizo yameanza baada tu ya kutumia hii simu.
Nilikuja humu nikasema bye bye ios na nikaomba ni android gani nzuri na itakayo kaa vizuri na moto pamoja na u quality wa camera.
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na wengi mlinishauri nichukue kampuni ya Redmi.
Kutokana na bajeti yangu niliweza kununua Redmi Note 10, hii simu iko vizuri sana inakaa na chaji, camera safi, iko very faster.
Tatizo langu toka niaze kuitumia nimekuwa na changamoto ya kuumwa kichwa, pamoja na macho sijui shida iko wapi, sijui Display ya hii simu sijui kitu gani.
Nimetumia iPhone miaka yote lakini sikuwahi kupata changamoto kama hii naombeni msaada wenu juu ya hili.
Display yake ni SUPER AMOLED na Display ya iPhone niliyokuwa natumi ni IPS LCD.
Sawa mkuu ahsanteTumia Auto Brightness, pia tumia Dark Theme kwenye simu nzima na apps
Sawa mkuu ahsante nitafanya hivyo.Coincidence ...tatizo limeanza mda ambao umenunua simu, au nenda kwenye Xiaomi community fanya research ujue kama kuna watu wana tatizo kama hilo, na pia kutokuwa na tatizo haina maana kuwa hauwezi kuanza kuwa nalo