Baada ya kusema bye bye ios

Baada ya kusema bye bye ios

MoneyHeist4

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
2,139
Reaction score
3,225
Nilikuja humu nikasema bye bye ios na nikaomba ni android gani nzuri na itakayo kaa vizuri na moto pamoja na u quality wa camera.

Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na wengi mlinishauri nichukue kampuni ya Redmi.

Kutokana na bajeti yangu niliweza kununua Redmi Note 10, hii simu iko vizuri sana inakaa na chaji, camera safi, iko very faster.

Tatizo langu toka niaze kuitumia nimekuwa na changamoto ya kuumwa kichwa, pamoja na macho sijui shida iko wapi, sijui Display ya hii simu sijui kitu gani.

Nimetumia iPhone miaka yote lakini sikuwahi kupata changamoto kama hii naombeni msaada wenu juu ya hili.

Display yake ni SUPER AMOLED na Display ya iPhone niliyokuwa natumi ni IPS LCD.
 
Uwe unatumia eye comfort au eye protection sijui simu nyingine wanaita hivo. Pia iwe na automatic display ibadili intensity ya mwanga kwenye settings na hapo itatunza chaji zaidi.

Nakumbuka uzi wako ule tulishauriana simu.
 
Baadhi ya vioo vya OLED vinakua na PWM (Pulse-width modulation) flickering. Vioo vya vya electronic devices vinatumia PWM kucontrol brightness ambapo kinakua kina switch ON and OFF kwa haraka sana. Ssa kuna baadhi ya watu (kama wewe) wanakua wapo sensitive sana na hii ON & OFF kiasi cha kwamba unakua unaona kma display ina cheza cheza. Kwenye OLED ni vigumu kuona display inacheza cheza ila inakua inakuumiza macho na kichwa. Kwenye LCD ndio utaona inacheza cheza. Mara nyingi simu za bei rahisi ndio zinakua na hili tatizo, unakua unaona kma mwanga kwenye kioo unacheza cheza.

Ushauri ni kwamba usipunguze brightness mpka chini au mpaka juu ukiwa unatumia simu ndani au usiku. Tumia brightness ya wastani tu
 
Huku wanaita Reading mode ndo natumia
 
Nimeweka Auto brightness na ndo natumia siku zote
 
Sina matatizo mkuu, matatizo yameanza baada tu ya kutumia hii simu.

Coincidence ...tatizo limeanza mda ambao umenunua simu, au nenda kwenye Xiaomi community fanya research ujue kama kuna watu wana tatizo kama hilo, na pia kutokuwa na tatizo haina maana kuwa hauwezi kuanza kuwa nalo
 
Nilikuja humu nikasema bye bye ios na nikaomba ni android gani nzuri na itakayo kaa vizuri na moto pamoja na u quality wa camera.

Nawashukuru sana kwa ushauri wenu na wengi mlinishauri nichukue kampuni ya Redmi.

Kutokana na bajeti yangu niliweza kununua Redmi Note 10, hii simu iko vizuri sana inakaa na chaji, camera safi, iko very faster.

Tatizo langu toka niaze kuitumia nimekuwa na changamoto ya kuumwa kichwa, pamoja na macho sijui shida iko wapi, sijui Display ya hii simu sijui kitu gani.

Nimetumia iPhone miaka yote lakini sikuwahi kupata changamoto kama hii naombeni msaada wenu juu ya hili.

Display yake ni SUPER AMOLED na Display ya iPhone niliyokuwa natumi ni IPS LCD.

Tumia Auto Brightness, pia tumia Dark Theme kwenye simu nzima na apps
 
Coincidence ...tatizo limeanza mda ambao umenunua simu, au nenda kwenye Xiaomi community fanya research ujue kama kuna watu wana tatizo kama hilo, na pia kutokuwa na tatizo haina maana kuwa hauwezi kuanza kuwa nalo
Sawa mkuu ahsante nitafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom