Baada ya kupigiwa simu jana, nina maswali 3 kwa wapinzani wa UKAWA ndani ya CHADEMA na CUF

kwani wewe ni nani hapa mjini mkuu?

Mkuu labda nikupm ili uwmulize yeye ya Kuwa Mikael P Aweda ni nani hadi utaka kukutana naye Ubungo Plaza. Yeye ndo anajibu zuri kuliko mimi nilyeitwa. Utanionea tu kwa kutaka niiibu maswali yake.
 
we nae msukule ndo unatetea upumbavu
 
kwani unguja na pemba wanaaminiana? Tuonyesheni maandishi yoxote ynayowaunganisha unguja na pemba
 
Vipi kuhusu serikali mbili za mkataba haziwezekani?
Je wale waliokua wanadai Hati ya Muungano waliku hawajui kuhusu dhamira?
Pesa bila daftari hupotea bila habari na Ambaye hajui anapokwenda kamwe hawezi kupotea.
Hongereni kwa makubaliano ya Midomo japo sifahamu kipimo cha Dhamira.
 
Mkuu labda nikupm ili uwmulize yeye ya Kuwa Mikael P Aweda ni nani hadi utaka kukutana naye Ubungo Plaza. Yeye ndo anajibu zuri kuliko mimi nilyeitwa. Utanionea tu kwa kutaka niiibu maswali yake.

wewe ndio umepewa kazi ya kutetea ukawa mitandaoni? Naona unatapatapa sana
 
Hahahaha, weka source basi mbona unakimbia mapema, hizo mbinu za divide and rule zimepitwa na wakati, jadilini rasimu iliyoletwa na tume ya Warioba ili ukawa isiwepo, otherwise nyie na magazeti yenu uchwara mnajitekenya na kucheka.

Waambie hao intarahamwe kwamba Prof..Lipumba yuko Mbeya,, ni UKAWA kwa kuenda mbele. Hapana rangi mtaacha kuiona mwaka huu.
 
Hongera kamanda kwa kufikiri kabla ya kuamua......Mungu ni mwema sana anayewahurmia watu wake wanyonge tutie bidii kuwasemea wanyonge wa nchi hii Mungu yupo upande wetu
 
Ni lini cuf wameacha kuwa ccm B?
ni lini nccr mageuzi wameacha kuwa tawi la CCM?
haya majina mabaya mabaya ya kuwachafua wenzenu mchana kisha jioni mnawaita marafiki haamaaanshi uroho wa madaraka wa chadema?

kamuulize Nape Nauye kwa nini anakupa buku saba?
 
Ni lini cuf wameacha kuwa ccm B?
ni lini nccr mageuzi wameacha kuwa tawi la CCM?
haya majina mabaya mabaya ya kuwachafua wenzenu mchana kisha jioni mnawaita marafiki haamaaanshi uroho wa madaraka wa chadema?

Hii kweli UKAWA imewashika magamba pabaya!! Toka lini huyu mtu wa buku 7 Ifweero akawaita CUF kuwa ccm B? Hapo hapo akawata NCCR kuwa ni tawi la CCM? Hii ni ajabu nakweli kuwa sasa magamba yanavuliwa mchana kweupe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…