Baada ya kupata majani... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kupata majani...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Mar 14, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Baada ya kuvuta msuba wa kutosha,mvuta bangi alijikuta akichukua kioo na kukitazama.Yule mvuta bangi alishindwa kuitambua taswira aliyoiona kwenye kioo,akaamua kumpa kioo mvuta bangi mwenzie ili amsaidie kuitambua taswira iliyomo kwenye kioo.Mvuta bangi wa pili akakiangalia kioo kwa umakini kisha akamjibu mwenzie;"hiyo taswira ambayo uliiona kwenye kioo ni sura yangu mimi!".
   
 2. N

  N series Senior Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa hapo yeye yule wa kwanza akachukua hatua gani???????
   
Loading...