Baada ya kupata ajira amkimbia mumewe

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
4,777
Reaction score
6,267
Hii imemtokea mwenzetu hapa ofisini kwetu na tunae jamaa alifunga Ndoa na mkewe miaka mitano iliyopita na wakabahatika kupata mtoto wa kiume ambae walikua wanamsomesha Shule fulani ya watakatifu pale Kibaha.

Kwa kuwa mke wa jamaa alikua pass mark zake si nzuri jamaa akajipinda wife akarisiti na kufanikiwa kupata divisheni ya vijana ndipo jamaa akaamua kumpeleka chuo fulani baada ya kumaliza mke wa jamaa akapangiwa ajira mkoa uleee yalikozaliwa mapenzi na mitaa yake mingi inafahamika kwa Barabara ya kwanza hadi 22 kwa sasa.

Jamaa walivyokubaliana na mkewe kwamba afanye mishemishe ya kumrejesha hapa Dar na mipango yote tayari ili wife arudi kupiga kazi Dar es salaam cha ajabu mke kamhamisha mtoto shule anayosoma na kaenda nae huko TA na kwmwambia jamaa wewe na mimi basi oa mke mwingine na usinijue kuanzia leo na huna mtoto ma mimi.

Walifunga ndoa ya kanisani ambayo baadhi ya watu kwa ujinga wanafikiri hawaachani wakati wazungu wenyewe wanaachana taarifa hizo kaletewa Mwaka huu 2015
Tumeshauri jamaa yetu tulia jenga maisha na utapata mke mwingine walausimfuatilie uila tunza meseji zote alizokutumia.

Hayo ndo mambo ya wanawake wa sasa maisha sasa kila mtu anamlia timing mwenzie ukizubaa imekula upande wako wewe mwanamume mwenzangu.Kina dada hawa ambao ni wake zetu acha kabisa kuwaaamini`kama mke ndo amefanya hivyo nani mwingine umuamini`aliesema mke si nduguyo ni kweli kabisa.
 

Huyu msichana kenge sana, hapa ndo anapo haribu nafasi ya wanawake wachache wanaojua mahusiano na thamani ya ndoa.
Inaonyesha binti hakumpenda mshikaji tangu mwanzo, ila alipenda zake.

Mwambie mshkaji afatilie damu yake.
 
Hiki kisa cha jamaa yetu kinaniongezea ujasiri wa kutowaamini wanawake kabla ya hili nilikua siwaamini 20% lakini kw a sasa ni 90 asilimia siwaamini hawa creatures bin viumbe
 
ndoa ndoanoooooo. lakini pia inawezekana bidada kuna vitu ambavyo havikumpendeza kwa mumewe ndio maana akaona bora akasome ili ajishie mwenyewe. wakati mwingine kumsomesha mtu sio sababu ya kumlaumu sanaaa au kuona ndio amekosea sana, yeye ashukuru anakazi hivo mwanae atakuwa na uhakiki wa matunzo. mengine wanajua wenyewe, sababu hizo wanazosema ni zile zinazoelezeka ila kiini huwa hata mchungaji aliyefungisha ndoa haambiwi.
 
 
Chezea TA mapenzi yalikozaliwa..!ataisoma namba kwa mbele.!ova.
 
Kuna mdau mmoja humu aliwahi kusema akili za hawa viumbe zinapungua mara moja kila mwezi wanavyotoa naniiiii”
 
Naona tatizo hapo ilikuwa kumtoa ujinga ,Hivyo visa saizi ni vgi sana,Dawa hapa ni hakuna kuaendeleza,Watatuua hawa
 
Duh!Pole yake,Hapo my wife wake ameshapata dume la kudanganyana.Binadamu huwa tunajisahau tulipotoka/tolewa!

Hii story in upande mmoja wa mwanaume; hamjasilikiza upande wa pili hivyo ni mapema kufikia hitimisho kama lako
 
 
Hela hela hela ndo tatizo kubwa sasa. Aliezaliwa masikini hataki kuishi na umasikini. Alie tajiri hataki kuwa masikini
 
tanga kunani kule mbona watu wanahangaika ??

cc mamaafacebook
 
Last edited by a moderator:
Si afadhali wa Raskazone uyo kapata wa mwahako kajipatia jidume la kidigo shughuli hana kapagawa na mauno ya mdigo.

Huna lolote ni wanaume wa tair tatu hupenda vya mteremko tena wao hupenda vya watu wala hawajui kama wao ni wanaume watakiwa kucharakia maisha yako halaf sio wanaume wamwahako tu asilimia kubwa wanaume na wanawake wa tanga (sio wote) hawajui kuhangaikia maisha waviv wamejikalia tu na wala hawana habari lol............ Usiwaone wamwahako tu waone na wengine huyo dada jinga kwa kutema big g kwa karanga za kuonjeshwa
 
Asipoandikiashiana nae wameachana, pesa zote mali atakazopata kuanzia waachane huyo huyo mkewe atakula share kama kawa hata kama ana mwanamke mwingine ndani.

Mwambie afanye hayo haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…