HaaaaaSalaam Wana MMU.
Ni mwaka mmoja sasa tangu nioe, na nikiri kuwa naishi kwa amani tu na mke wangu kipenzi.
Nilijitahidi sana nisichepuke mwanzoni kabisa mwa ndoa yetu, na niliweza kuvumilia miezi minne ya mwanzo. Ila baada ya hapo nikaona siwezi kabisa kuendelea kuvumilia. Nikaamua nichepuke tu. Lakini niliamua kubadili style ya uchepukaji tofauti na kile kipindi cha uchumba na mahusiano na huyu mke wngu.
kwani ukiondoka unaweka zege pale ? watamnyonyesha hata mdomoni wakaojoe ha hahahahahaEndelea kuota
Sijui nielezeMademu ninaowazungumzia hapo sio hao wa kugharamiwa na wenzangu, hao bado nawaingiza katika kundi la NJAA.
Wapo mademu wenye nazo, kama huwajui seme uelekezwe.
Hili nalo ni ajabu wanaume tumeumbwa hivyo.Dunia haitaisha maajabu
Mkeo hawez kufa njaa...Hizi njaa ndo zinazonifanya nisitake njaa.. NJAA yangu ukiplus na NJAA ya mchepuko, si mke wangu atakufa na NJAA?