Baada ya kuoa sikuacha kuchepuka, ila nilibadilisha style ya uchepukaji

Salaam Wana MMU.
Ni mwaka mmoja sasa tangu nioe, na nikiri kuwa naishi kwa amani tu na mke wangu kipenzi.
Nilijitahidi sana nisichepuke mwanzoni kabisa mwa ndoa yetu, na niliweza kuvumilia miezi minne ya mwanzo. Ila baada ya hapo nikaona siwezi kabisa kuendelea kuvumilia. Nikaamua nichepuke tu. Lakini niliamua kubadili style ya uchepukaji tofauti na kile kipindi cha uchumba na mahusiano na huyu mke wngu.
Haaaaa
 
naona hii kampeni inaendelea ya kuumiza michepuko any way tuone mnaishia wapi ha hahaha nacheka sababu naona mnarudisha majeshi pole pole kwa wake zenu ila michepuko nayo inabadili mbinu za kuwatoa pesa .. ushauri wangu tumia kinga la sivyo utaitwa baba soon
 
Mwanamke lazma agharamiwe kama sio ww bas kuna boya mwenzako anaegaramia huo mzgo... Cha msing kama hutak kuhonga tafuta wachepukaj wenzio wasioridhika na ndoa zao huko... huyo mkikutana ni mikito tu mahitaj yake kwa mumewe lkn kama unachkua kident cha chuo lazma Tsh zitanyofoka tu
 
Shemeji Kwa hiyo ndio unavyomsaliti Dada yangu,
Ngoja nikamuoneshe hii thread yako, pumbafuuu


teh teh teh..
 
Back
Top Bottom