Baada ya kuoa sikuacha kuchepuka, ila nilibadilisha style ya uchepukaji

Salaam Wana MMU.
Ni mwaka mmoja sasa tangu nioe, na nikiri kuwa naishi kwa amani tu na mke wangu kipenzi.
Nilijitahidi sana nisichepuke mwanzoni kabisa mwa ndoa yetu, na niliweza kuvumilia miezi minne ya mwanzo. Ila baada ya hapo nikaona siwezi kabisa kuendelea kuvumilia. Nikaamua nichepuke tu. Lakini niliamua kubadili style ya uchepukaji tofauti na kile kipindi cha uchumba na mahusiano na huyu mke wngu.

Kwa sasa sitembei na DEMU NJAA hata kwa bahati mbaya. Yaani demu anayebip, kuomba omba vihela, sijui mara credit imekata, mara MB sina.. Yaani sitaki hata kuwaona mademu wa hivyo. Nikikuomba namba na siku hiyohiyo labda ukaleta swaga za kunibip au kukutumia sms usijibu halafu nikikupigia unasingizia huna vocha, umeshanikosa!!

Sina sababu hata moja ya kuchepuka, ila nachepuka kwa sababu tu nimezoea kutembea na wanawake tofauti tofauti. Kwahiyo najitahidi sana nisiingie gharama katika kutekeleza hobby yangu hii.
Kwakweli wanawake wanaojiweza wapo wengi, kuna wanaofanya biashara zao, wapo wale ambao ni wa geti kali mama zao na baba zao pesa wanazo, nk. Sioni haja ya kuhudumia mke wngu, halafu nihudumie na mchepuko!!.

Yupo demu mmoja hadi sasa haamini kinachoendelea, nilimuomba namba tulikua katika daladala. Baada ya kumwambia tu nafanya kazi sehemu flani, akaanza kuniomba eti nimtaftie kazi daaah... Anasumbua hatari. Na ameweka kautaratibu kake kila asubuhi sana lazima abeep, na jioni sana lazima abeep.. Hajawahi kupiga.

Kwa ufupi mimi nikishaona tu huyu demu ANA NJAA hamu yangu yte inakata. Huyo demu sikumpigia tena. Jana kanitext (sijui kaokota wapi vocha) "Habari, ile kazi ulinitaftia?" Nikamjibu "Kwani ni rahisi kiasi hicho?".
Naogopa sana mademu njaa kwakweli, wanasumbua, haswa akishakuvulia chupi yake.

Jamani wanaume wenzangu, hebu tuwatunze wake zetu, kama unachepuka basi chepuka kwa mtu ambaye hakutii hasara.. Mtu pekee wa kubudumiwa ni mke tu, sio wengine wengine.



Nakuunga mkono kwa hili, hata mimi sipendi kabisa wanawake tegemezi, yaani wao kazi kukaa tu na kungojea kuchuna wanaume. Bahati niliyonayo siku zote mimi ni kuhongwa tu na kwa kweli ninaringa sana, nikilalamika tu, utaona zawadi hiyo.
 
Hakuna kitu kinaitwa free of charge, mkeo hakupi uchi bure, ni baada ya kuhakikisha kua unamhakikishia usalama wa maisha yake,chakula,mavazi,nk. Hakuna kitu cha bure.

Anaelipa malaya kupata uchi na wewe ulie nunua uchi permanent ukaweka ndani wote wote mko sawa,mnalipia uchi.

Aliekudanganya kua ukishaoa k unapata bure ni nani,gharama za kutunza hiyo k hapo nyumbani ni za nani?

Wewe kama unaona kuhonga ni upunguani, wenzako pia tunaona kuoa kukaa ka k moja siku zote ni utaahira.
Teh teh!!mawazo tofauti tofauti ndio yanafanya hii dunia iwe kama ilivyo!wewe ukijua vya kunyonga wenzako wanajua vya kuchinja!
 
Nakuunga mkono kwa hili, hata mimi sipendi kabisa wanawake tegemezi, yaani wao kazi kukaa tu na kungojea kuchuna wanaume. Bahati niliyonayo siku zote mimi ni kuhongwa tu na kwa kweli ninaringa sana, nikilalamika tu, utaona zawadi hiyo.
Safi sna
 
Maneno mengi nikajua unachepuka kwa kuwa mkewe anazingua baadhi ya mambo kumbe tabia yako tu dah!, sasa ulioa kwa nn
 
Back
Top Bottom