Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,506
umeacha kutabasamu,why?!!.Nimeacha kuweka hela zangu Mezani.
Nimeacha kuingia na simu zangu ndani,badala yake naziacha kwenye gari nje.
Nimeacha kushinda home week end,jumapili saa moja kamili asubuhi nimeshasepa,
Nimeacha kwenda kwenye ile Pub ninayoipendaga,kwa sababu ni karibu na ofisi yake na wahudumu wote wazuri wa pale anawajua
Pia nashangaa siku hizi nimeshindwa kabisa kutabasamu!!!!