Baada ya kunikula kanichunia

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi8 kwa jina lake ni Frank kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za

Ni hayo tu naombeni mniliwaze
Pole sana kwa jambo hili...utapata akupedae.
 
Nipm namba yako nikutumie laki moja hapo ukapoze machungu sehemu tulivu. Utanishukuru baadae.
 
Huu mwandiko sio wa mwanamke aliyekuwa bikra siku kadhaa nyuma.
Hahaha! Halafu anasema hayuko romantic. Labda jamaa kagundua ilikuwa bikra ya kichina.😄 maana ana uzoefu na mapenzi lakini bado alikuwa bikra.
 
Mvuvi unavuaa
Hapo Miaka 25 amenikula bikra

Technically ni kusema am 25 mileage ni ndogo nipo single
 
Back
Top Bottom