Baada ya kunikula kanichunia

pili bikira ni kwa bikira Maria tu....nyie wengine ni bikra.

Kumbukumbu la Torati 22 : 17

- angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.

Jamani hebu niliwazee acha kuniumiza moyo
 
Hahaha! Halafu anasema hayuko romantic. Labda jamaa kagundua ilikuwa bikra ya kichina. maana ana uzoefu na mapenzi lakini bado alikuwa bikra.

Unakumbuka story ya Tajiri na Lazaro wa kwenye Biblia

Mwisho wa siku yule tajiri alijibiwa vipi

Ibrahimu akamwambia, ‘Wasiposikiliza na kutii sheria za Musa na Maandiko ya manabii, hawatashawishika kutubu hata kama mtu akifufuka kutoka kuzimu.”’

Nataka kusema hata mtu atoke kuzimu akuambie hivi huwezi kuaminiiiiiiiiii
 
Mbona kama una furaha wewe ndo umetolewa bikira juzi apo kweli
 
Back
Top Bottom