Baada ya kumuoa ndio nimejua alishazaa na mwanaume mwingine

Ungekuwa kaka yangu sema tu sina kaka, ila ningeshauri ukaoe mwanamke mwingine au uzae na mwanamke mwingine ngoma iwe drooo

wewe ni me or ke
Ili jambo wanawake wengi wanakoseaga sana kuficha kitu bila kufikiria mbele itakuwaje...wanatia aibu wanawake kuficha watoto waliobarikiwa na Mungu kisa tamaa zao. Na mwanamke wa hivyo eeeh utasikia mengi labda hata alikuwa ameolewa au aliishi kindoa kabisa...

Kama hana mimba au hamjazaa wenu nenda zako, nafikiri umejuta na familia yako itakusamehe na kukusapoti katika maamuzi yako.
 
Cha msingi mwanamke awe mkweli ila kama anaficha jua huyo sio mkweli anakupotezea muda tu.Wengine mbona wanatulia tu inategemeana waliachana vp,kama waliachana kwa shari ni ngumu kurudiana.Ndo maana tunashauriwa tuachane kwa wema ili hata badae mkitata kurudiana iwe rahisi.
 
Kuwa na mtoto sio shida sana coz kuna mwingine inawezekana alibakwa, shida kubwa ni kutoweka wazi kwamba ana mtoto,maamuzi ni yako
 
Kaa jiulize uliona kwa faida ya nani hasa,ya kwako au ya familia yako??
Jiulize ni kipi uliona kwa mkeo mpaka ukaamua kumuoa???
 
Hata kama walizaa na wanaume, ni kwanini walikubali kuzaa kabla ya ndoa? Au walibakwa?
Kuna wanawake wangapi umewapa mimba na wakatoa? Au ww unafikiri kuzaa ni mpaka mtu aende leba? Hata kutoa mimba ni kuzaa pia by the way kwa nn na ww uanze mapenzi bila kuwa na mke? Ina mana ww hujayawahi fanya mapenzi toka ulivyobalehe umekuja fanyanyia ndoani?
 
kuzaa watoto wawili sio sababu ya kutaka kumpa talaka..kama mwanamke ana deserve heshima ktk ndoa mliyofunga ..anaweza akawa ndo anafanya correctiona ktk ndoa yenu na akaperform the best kuliko unavofikir....angalia vision yake juu ya maisha yenu...usiwe so alerted kwamba huyu muda wwte namtafutia sababu ..hapana...mm mwenyewe nina mchumba na ana mtoto mmoja mkibwa tuu...na pia niliwah kusema siku moja kwamba one dy ntakuja nioe mwanamke ambaye ameshazaa...tusiwe na negative attitude juu yao....issue ni kwamba kama ameonesha tabia mbovu kwa haraka hapo ndipo unatakiwa kuliangalia hlo suala kutafuta kwann anabehave namna hyo...faham suala la upendo kutoka moyoni ni lako na sio la ndugu zako....unaweza kulazimishwa kumuacha lkn kumbe ww unafaham utamu wa maisha pindi unapokuwa naye.....na usijaribu kuoa mtu kwasababu tuu flan...pima upendo wako kwake...na yy afanye the same...Namalizia kusema..maisha ya ndoa c ya kufanya maamuz mepesi na ya haraka..tafakari kwanza ndugu..pole sana.
Mkuu huyo mwenye mtoto ushauoa?
 
Kataa ndoa ,ndoa ni utapel , mkuu ushauri unafaa zaidi kwa walio hai , ww ni kma ushakufa tayari.
 
Back
Top Bottom