Molleli
Senior Member
- Aug 29, 2020
- 178
- 160
- Thread starter
- #21
Acha ushamba, kwa taarifa yako maeneo mengi taarifa mbalimbali ziwe za maendeleo au nyingine zozote hutolewa kwenye mikusanyiko ya watu, sasa hapo alisimama balozi tena ni wa CCM angesimama afisa mtendaji si ungefunga kibwebwe uzunguke dunia nzima kusema CCM inatumia viongozi wa Serikali kufanya siasa.
Acha ushamba.
[/QUOTE Muwe mnampa japo ushauri aachane na wasanii na kukusanya wananzengo kwenye magari ya mizigo ajaribu kuja kiume tuone Ni jinsi gani atapokelewa😆😆