Baada ya kumsikiliza Rais Samia nimeelewa ni kwanini CDF Mabeyo alipewa dokezo

Acha uongo basi.... kujifanya legacy inaendelea
 
Ccm wote wahuni tu
 
Hili kawadanganye vijiwe vya kwenu huko uswahilini. Huwezi kutudanganya sisi tunaojua alipougua alizidiwa namna gani. Kwa kifupi ni kuwa hakuwa ameendaa plan yoyote na mambo yalibadilika ghafla bila mtu yoyote kutarajia.
Na hapa ndio Watnzania walipoponea, mkono wa Bwana ukaonekana, vinginevyo hali ingekuwa tete.
 
Jiwe hadi kifo chake hajawahi kuiheshimu Katiba. Wacha uongo
 
Mjinga we, kwani unafikiri CDF ni mjinga na hakujua ukichaa wa Mwendazake?
Ninyi si ndio mlimuwekea vinasa sauti CDF kwa kutumwa na Mwendazake.
Idara yenu ilisha haribiwa kabisa chini ya yule bwana na kuwa kikosi cha interhamwe tu.
 
Hili kawadanganye vijiwe vya kwenu huko uswahilini. Huwezi kutudanganya sisi tunaojua alipougua alizidiwa namna gani. Kwa kifupi ni kuwa hakuwa ameendaa plan yoyote na mambo yalibadilika ghafla bila mtu yoyote kutarajia.

Watu kwa kujkweza hamjambo,eti na wewe ulikuwa unaujua undani wa kila kitu.Hebu acheni kutufanya watoto wa kindergaten hapa na uongo wenu nyuma ya keyboard.
 
Katiba inaelekeza iwe hivyo. Achana na Madokezo ya marehemu Magufuli.
 
Anafikiri spika anateuliwa na rais, kuna watu ni weupe sana vichwani....
Kama hujui Rais ndio mwenyekiti wa CCM ndio ujue sasa. Rais ndio anaamua nani awe spika ili huko baadae amtumie atakavyo...

Rais huyo huyo ndie anamteua jaji mkuu. Ndio ujue kibongobongo Spika wa Bunge na Jaji mkuu hawana la kusema mbele ya Rais...

Katiba la kibwege kabisa tunalo hivi sasa...
 
Mapema nana hii umeshaanza ujinga?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…