Baada ya Kumsikiliza Gwajima Na Ruge, sasa Ni wazi Mwendesha Mashtaka Wa Serikali kwenda Mahakamani

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Baada ya kusikia maelezo ya Askofu Gwajima, na Ruge Mutahaba; Ofisi ya Mwendesha mashtaka wa Serikali wanayo mashitaka ya wazi ambayo yanaushahidi usio na shaka dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambayo ni:

1. Unyang'anyi wa kutumia silaha (armed robbery) kinyume na kifungu 287A cha Sheria ya Kanuni za Adhabu, Sura ya 16 ya sheria zetu.

2. Matumizi mabaya ya ofisi (abuse of office) kinyume na kifungu 96(1) cha Sheria ya Kanuni za Adhabu, Sura ya 16 ya sheria zetu.

3. Matumizi mabaya ya wadhifa (abuse of position) kinyume na kifugu cha 31 cha Sheria ya Kupambana na kuthibiti Rushwa ya mwaka 2007

4. Kuingia kijinai (Forcebly Entry) kinyume na kifungu 85 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu sura ya 16 ya sheria zetu.

5. Kutishia kwa lengo la kulazimisha (intimidation) kinyume na kifugu 89B cha Sheria ya Kanuni za Adhabu sura ya 16 ya Sheria zetu. shtaka la kwanza halina kabisa dhamana.

Kama ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka haikumuogopa marehemu Ukiwaona Ditopile Mzuzuri (aliekua mkuu wa mkoa wa Tabora wakati huo, na mshenga wa Rais Kikwete) na kumshitaki kwa mauaji, kitu gani leo kinawafanya msimpeleke Mahakamani huyu Mkuu wa Mkoa wa Dar ambae wala sio mshenga wa Rais?
ℹjhnmallya2017
 
lemutuz ni Admin:eek:
 
Attachments

  • IMG-20170319-WA0035.jpg
    IMG-20170319-WA0035.jpg
    45.3 KB · Views: 42
I wish i could be ......, hii vita ya wakolomije acha wapasuane wakimaliaza tunawakamata wote tunawatia fimbo.
 
Baada ya kusikia maelezo ya Askofu Gwajima, na Ruge Mutahaba; Ofisi ya Mwendesha mashtaka wa Serikali wanayo mashitaka ya wazi ambayo yanaushahidi usio na shaka dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambayo ni:

1. Unyang'anyi wa kutumia silaha (armed robbery) kinyume na kifungu 287A cha Sheria ya Kanuni za Adhabu, Sura ya 16 ya sheria zetu.

2. Matumizi mabaya ya ofisi (abuse of office) kinyume na kifungu 96(1) cha Sheria ya Kanuni za Adhabu, Sura ya 16 ya sheria zetu.

3. Matumizi mabaya ya wadhifa (abuse of position) kinyume na kifugu cha 31 cha Sheria ya Kupambana na kuthibiti Rushwa ya mwaka 2007

4. Kuingia kijinai (Forcebly Entry) kinyume na kifungu 85 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu sura ya 16 ya sheria zetu.

5. Kutishia kwa lengo la kulazimisha (intimidation) kinyume na kifugu 89B cha Sheria ya Kanuni za Adhabu sura ya 16 ya Sheria zetu. shtaka la kwanza halina kabisa dhamana.

Kama ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka haikumuogopa marehemu Ukiwaona Ditopile Mzuzuri (aliekua mkuu wa mkoa wa Tabora wakati huo, na mshenga wa Rais Kikwete) na kumshitaki kwa mauaji, kitu gani leo kinawafanya msimpeleke Mahakamani huyu Mkuu wa Mkoa wa Dar ambae wala sio mshenga wa Rais?
ℹjhnmallya2017

Tunataka utawala wa sheria KWA WOTE. Sheria ziko wazi na tunachotaka kuona ni zitumike kutoa haki bila ubaguzi wala kigugumizi.

Naunga mkono hoja iliyoko mezani.
 
Baada ya kusikia maelezo ya Askofu Gwajima, na Ruge Mutahaba; Ofisi ya Mwendesha mashtaka wa Serikali wanayo mashitaka ya wazi ambayo yanaushahidi usio na shaka dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambayo ni:

1. Unyang'anyi wa kutumia silaha (armed robbery) kinyume na kifungu 287A cha Sheria ya Kanuni za Adhabu, Sura ya 16 ya sheria zetu.

2. Matumizi mabaya ya ofisi (abuse of office) kinyume na kifungu 96(1) cha Sheria ya Kanuni za Adhabu, Sura ya 16 ya sheria zetu.

3. Matumizi mabaya ya wadhifa (abuse of position) kinyume na kifugu cha 31 cha Sheria ya Kupambana na kuthibiti Rushwa ya mwaka 2007

4. Kuingia kijinai (Forcebly Entry) kinyume na kifungu 85 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu sura ya 16 ya sheria zetu.

5. Kutishia kwa lengo la kulazimisha (intimidation) kinyume na kifugu 89B cha Sheria ya Kanuni za Adhabu sura ya 16 ya Sheria zetu. shtaka la kwanza halina kabisa dhamana.

Kama ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka haikumuogopa marehemu Ukiwaona Ditopile Mzuzuri (aliekua mkuu wa mkoa wa Tabora wakati huo, na mshenga wa Rais Kikwete) na kumshitaki kwa mauaji, kitu gani leo kinawafanya msimpeleke Mahakamani huyu Mkuu wa Mkoa wa Dar ambae wala sio mshenga wa Rais?
ℹjhnmallya2017

6. Kugushi cheti cha kliniki.
 
Back
Top Bottom