Baada ya kumshambulia kamanda wetu,wahusika pamoja na mabosi wao waliowatuma walihitaji kujipa muda wa kutafakari na kuja na plan "B"

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,388
Ndugu zangu,nina mamboa machache tu ya kutaka kuwaeleza/kuwakumbusha ili msidanganyike na hizi propaganda za watu ambao huenda teyari nao wamenunuliwa.

Ni hivi wandugu,katika hali ya kawaida na kama ambabyo tumekuwa tukishuhudia katika maisha ya kila siku,mtu anapotekeleza jambo baya la kinyama, mara nyingi hata yeye huchanganyikiwa na wakati mwingine anaweza kufanya jambo ambalo linaweza kumkamatisha japo mwanzoni alijipanga vizuri ilI asikamatwe wala kuacha clue yoyote ya yeye kuwa suspected na hii ni kwasababu akili huwa inahama huku nafsi ikimsuta(huchanganyikiwa mithili ya mtu aliefumaniwa)

Ni katika mazingira haya haya hata wale waliopanga na kutekeleza shambulio lile akili zao hazikuwa normal,walishindwa kutulia na walihitaji muda kuanza kuwa nini iwe plan "B" kama kamanda asingetutoka(kama ilivyotokea).

Kuna watu wanajaribu kucheza na akili za watu kuwa eti mara baada ya lile tukio harakaharaka wangeagiza kamanda amaliziwe.

Watu hawa wanasahau ni vigumu sana kumuhuisha mtu ambae hakuwa sehemu ya njama(plot) kukamilisha njama ambayo mwanzoni hakuhusishwa.

Pili watu hawa wanasahau mara baada ya tukio lile kulikuwa na reaction kubwa ya watu na media na ni kipindi ambacho hata waliohusika walitaka kukitumia na wao kuonyesha sympathy hata ya kinafiki kama tulivyoona.

Pia wahusika wa unyama huu hawakujua ni jopo la watu gani waliokuwa wakimuhudumia muhanga na kina nani wangeweza kuhitajika kuongeza nguvu kama ingebidi.

Isitoshe,kama hawakujipanga ilikuwa ni vigumu kuingiza kitu chochote kibaya mule ndani au kufanya kinyume na utatatibu maana mko wengi na hamkuandaliwa.

Hivyo ndugu zangu,jambo hili mule ndani lisingewezekana kama ambavyo halikutokea ila lingewezekana baada ya siku kadhaa mblele(kama wangekuwa na nia hiyo) na ndio maana wenye akili waliona hatari hii na kufanya maamuzi waliyoyafanya.

Vile vile huenda walikuwa waki-buy time kwa matarajio kuwa mambo yangekuwa mabaya kutokana na hali ya kamanda wetu hivyo wakawa wanaishi kwa matumani hayo bila kujijua kuwa walikuwa wanasubiri "embe dodo chini ya mnazi".

Jambo lingine tunalopaswa kutambua ni kuwa,hivi sasa tusiamini sana watu kwani wanaweza kurubuniwa kama walivyorubuniwa kina Julius na wengineo na kusaliti imani na misimamo yao.

Pia,hawa mabwana wana-target watu ambao wana influence fulani wakiami kutokana na influence yao wanaweza kuaminika(kubadilisha imani na mitazamo ya watu wengine).

Hata humu mitandaoni wenye influence kutokana na majina yao wanafahamika na wanaweza kuwatumia tu kama wanavyowatumia wengine(ni muda wa kuwapima).

Akili ya kuambiwa ........
 
Mkuu usemayo ni kweli ushawishi huku mtaani ni mkubwa sana ili wenye misimamo mikali waunge mkono juhudi.
Mie najiuliza utanipa nini niweze kuunga mkono akili kama hizi?
millardayo___Bnd7oVmHqu8___.jpg
 
Ndugu zangu,nina mamboa machache tu ya kutaka kuwaeleza/kuwakumbusha ili msidanganyike na hizi propaganda za watu ambao huenda teyari nao wamenunuliwa.

Ni hivi wandugu,katika hali ya kawaida na kama ambabyo tumekuwa tukishuhudia katika maisha ya kila siku,mtu anapotekeleza jambo baya la kinyama, mara nyingi hata yeye huchanganyikiwa na wakati mwingine anaweza kufanya jambo ambalo linaweza kumkamatisha japo mwanzoni alijipanga vizuri ilI asikamatwe wala kuacha clue yoyote ya yeye kuwa suspected na hii ni kwasababu akili huwa inahama huku nafsi ikimsuta(huchanganyikiwa mithili ya mtu aliefumaniwa)

Ni katika mazingira haya haya hata wale waliopanga na kutekeleza shambulio lile akili zao hazikuwa normal,walishindwa kutulia na walihitaji muda kuanza kuwa nini iwe plan "B" kama kamanda asingetutoka(kama ilivyotokea).

Kuna watu wanajaribu kucheza na akili za watu kuwa eti mara baada ya lile tukio harakaharaka wangeagiza kamanda amaliziwe.

Watu hawa wanasahau ni vigumu sana kumuhuisha mtu ambae hakuwa sehemu ya njama(plot) kukamilisha njama ambayo mwanzoni hakuhusishwa.

Pili watu hawa wanasahau mara baada ya tukio lile kulikuwa na reaction kubwa ya watu na media na ni kipindi ambacho hata waliohusika walitaka kukitumia na wao kuonyesha sympathy hata ya kinafiki kama tulivyoona.

Pia wahusika wa unyama huu hawakujua ni jopo la watu gani waliokuwa wakimuhudumia muhanga na kina nani wangeweza kuhitajika kuongeza nguvu kama ingebidi.

Isitoshe,kama hawakujipanga ilikuwa ni vigumu kuingiza kitu chochote kibaya mule ndani au kufanya kinyume na utatatibu maana mko wengi na hamkuandaliwa.

Hivyo ndugu zangu,jambo hili mule ndani lisingewezekana kama ambavyo halikutokea ila lingewezekana baada ya siku kadhaa mblele(kama wangekuwa na nia hiyo) na ndio maana wenye akili waliona hatari hii na kufanya maamuzi waliyoyafanya.

Jambo lingine tunalopaswa kutambua ni kuwa,hivi sasa tusiamini sana watu kwani wanaweza kurubuniwa kama walivyorubuniwa kina Julius na wengineo na kusaliti imani na misimamo yao.

Pia,hawa mabwana wana-target watu ambao wana influence fulani wakiami kutokana na influence yao wanaweza kuaminika(kubadilisha imani na mitazamo ya watu wengine).

Hata humu mitandaoni wenye influence kutokana na majina yao wanafahamika na wanaweza kuwatumia tu kama wanavyowatumia wengine.

Akili ya kuambiwa ........
Umemaliza kazi mwenye masikio na asikie
 
Changanya na za MBAYUWAYU
 
Kuna wajinga na wapumbafu wanaleta propaganda kwenye, fact ya Mauji ya kukusudia.Kabla ya utawala huu kuisha Kuna watu watatubu.
 
Back
Top Bottom