Huyu bwana alinipa mimba na aka mkataa mtoto wake.Amenikatia sana simu kila nilipo mtafuta na mengine mengi mengi nisiwachoshe kwa kuwasimulia.Muda wa miezi kadhaa sasa umepita toka katoto kazaliwe na yeye akatae nimesha zoea maisha yangu napambana kumlea mwanangu peke yangu as a single mom na msaada pia kutoka kwa ndugu.Sasa baba wa mtoto kanitafuta ananiambia tuonane akirudi kwa sasa yupo safari.Naomba mnipe mawazo je akirudi nimskilize anasemaje au niachane naye kama alivyo nitendea yeye kipindi chote cha ujauzito mbaka nilivyojifungua.Nakumbuka wakati namwambia mtoto tayari alicho nijibu ni i don't want it and I have nothing to do with it

Hawa wadada wewe unawaamini Sana eeeh!! Tafuta kuwafahamu vizuri, hadi jamaa kukataa huwezi jua. Kuna wadada ni hatari tena moto. Nimesikia kabisa mdada akisema " mimba sio yake lakini sins jinsi, hamna wa kunisaidia kulea". Hawa watu waone tu hivi.Yani watu siku hizi tuna roho mbaya! Lakini siwezi kumjaji jamaa kwa sababu inategemea uhusiano wenu ulikuwaje na whether alikuamini ama unaaminika( kutokana na kuibiwa sana huwezi aminiwa kirahisi hadi mtoto amuone kama anamfanania). Anyway, hukustahili kutendewa hivyo. Pole sana na Hongera sana kwa kumpata na kumlea mtoto.
Msikilize tu baba wa mtoto huna jinsi (If not for him basi for your beloved child). Hata kuwe na father figure kwenye maisha ya mtoto. Japo ndo vile ila ndo binadamu wa sasa tulivyo tena. Yani kama mwanaume alikuwa ni integer lazima awe whole lakini kwa sasa tutaomba kuwe na theluthi mwanaume, nusu mwanaume na robo mwanaume na kwa wanawake vilevile
Nenda tu akupe mimba nyingine
Nenda tu akupe mimba nyingine