white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,315
- 13,281
Ni pipa na mfuniko!!msanii tu, jana anaulizwa kuhusu Ponds za samaki, hizo 26, ambazo wawekezaji wana vibari, vya kutumia maji hayo, anakimbia kimbia tu!!zigo anaenda kutwishwa mtendaji wa kata eti alikuwa wapi, watu wanatumia maji ovyo!!sasa watu wana vibali toka bodi ya bonde husika wewe mtendaji unasauti ipi tena?!!Kwahio huyo waziri mpenda sifa na Magu hawatofautiani sana,kama Jinsi alivyo okota vichwa vya treni pale bandarini?