Baada ya kumeza haloperidol hapati usingizi kabisa

Hizo dawa kapewa mapema sana.

Hizo dawa wanapewa watu ambao wameshapimwa na kugundulika wana matatizo ya akili.

Sasa yawezekana mkeo alikuwa bado hajafikia huko kabisa.

Nauhakika alikuwa kwenye msongo mzito wa mawazo. Maana msongo wa mawazo una matabaka mbali mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI SIO DOKTA NI GOOGLE MASTERHaldol
haloperidol) is an antipsychotic drug that decreases excitement in the brain. Haldol is used to treat psychotic disorders like schizophrenia, to control motor (movement) and verbal (for example, Tourette's syndrome) tics and is used to treat severe behavior problems in children. Haldol is available in generic form. Haldol is not approved for use in older adults with dementia because of increased chances of death during treatment. Common side effects of Haldol include:

nausea,

vomiting,

diarrhea,

dry mouth,

nervousness,

headache,

dizziness,

spinning sensation,

drowsiness,

sleep problems (insomnia),

restlessness,

anxiety,

skin rash,

itching,

spontaneous eye movements,

mood changes,

breast enlargement,

irregular menstrual periods,

loss of interest in sex,

blurred vision,

difficulty urinating or urinating less than usual, and

occasional movement disorders

Severe side effects of Haldol include:

death in the elderly,

prolongation of the QT heartbeat interval,

tardive dyskinesia (involuntary movements), prolonged erection (hours),

a symptom complex sometimes referred to as neuroleptic malignant syndrome (NMS) with fever,

irregular heartbeats,

mental status changes, and

renal failure

Haldol is available in sterile vials containing 5 mg strength Haldol per 1 ml of fluid used for injection. Usual starting dose is 2.5-5 mg intramuscularly. Dose may vary according to patient response to the drug. Switch to an oral form of this drug is recommended as soon as possible. Haldol may interact with other drugs so the patient needs close observation or monitoring to determine if other side effects develop. Haldol should only be used during pregnancy or in women likely to become pregnant only if the benefit clearly justifies a potential risk to the fetus; fetal abnormalities and fetal exposure to Haldol in the third trimester have shown dependence at birth. Women who are breastfeeding should not take Haldol because the drug may affect the infant. Although reports of use for behavior modification exist, the drug is not approved for use in children.
Our Haldol Side Effects Drug Center provides a comprehensive view of available drug information on the potential side effects when taking this medication.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ni moja ya side effect... Kukosa usingizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipata kwa undani nashukuru sana naanza kufunguliwa nashuru kwa msaada .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh inaumiza hasa kama dr. Kaamua kupita shortcut vp naweza fanya nini maana ndo alishameza na vipi naweza msaidia kumaliza tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa nini kifanyike ndugu yangu maana hali nitete

Sent using Jamii Forums mobile app
1. nenda hospitali tofauti ili upate opinion ya psychiatric dr mwingine, wasimulie life style ya mgonjwa kabla na mwanzo wa tatizo
2. wanapoprecribe dawa wakupe regime namna na wakati wa kumeza
3. bado kumuomba Mungu usichoke! je ulienda wapi?
 
Hizo dawa tulikuwa tunampa braza angu, nae alipatwa na mauza uza. Anaongea kama cherehani anyamazi yani iwe asubuhi iwe mchana iwe usiku anajipigisha story mwenyewe!

Hadi akadhoofu kama mtu mwenye ngoma yani! Zilikuwa zinamsaidia alale usingizi usiku kwa kuleta usingizi mzito hatimae analala japo kwa masaa hata 5. Japo zilikuwa na combination ya dawa zingine sikumbuki kwa jina.
 
Kama ameandikiwa haloperidol asiache kunywa. Ukienda pharmacy kuna dawa za usingizi zinauzwa bila prescription kama kalms au nytol hizi ni herbs.
 
Kama ameandikiwa haloperidol asiache kunywa. Ukienda pharmacy kuna dawa za usingizi zinauzwa bila prescription kama kalms au nytol hizi ni herbs.
Sawa leo nitamchukulia japo jana ilibidi nimpe valium kidonge kimoja naona kaamka misuli imeachia na kalala kwa muda mrefu nashukuru kwa ushauri mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu vipi zilimsaidia kumaliza tatizo au

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…