Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 33,830
- 54,043
Nimeshauri muwahi
Nimeshauri muwahi
AmenPole sana mkuu. I hope your betterhalf will regain her sanity soon, in Jesus name. Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo dawa kapewa mapema sana.Habari za majukumu mke wangu amepatwa na matatizo ya akili tarehe 5 mwezi 2 mwaka huu mwanzo tulihisi labda ni mapepo tukaweka nguvu katika maombi sio siri hali ilizidi kua mbaya wa kukimbia barabarani kufikia hatua ya kujaribu kujiua kwa mara mbili na kumuokoa hakuwahi kuugua awali ila mwaka jana mwezi wa 9 alipata na ugonjwa wa kuhema kwashida,kutetemeka,mapigo ya moyo kwenda kasi,vichomi upande wa kushoto kwenye titi na mgongoni tulijaribu hosptal mbalimbali ikiwemo na bugando kwa ajiri ya vipimo lakini vipimo avikuweza onyesha tatizo lolote,ikabidi awekeze nguvu kwenye maombi kwa kuamini anaweza kukaa sawa lakini mwisho wa siku amejikuta anakuwa mtu wa mawazo kukosa usingizi na hatimae kuugua kabisa ugonjwa wa akili kupitia kusoma mawazo ya wengi jf nilianza tiba ya kumshauri pamoja na mazoezi alikuwa anaelenda poa tatizo ni kwenye wasiwasi nilipo jaribu hosptal kwa mtaalam wa hayo matatizo alimwandikia dawa za haloperidol anavyo meza usiku viwili kabla ya kulala amempa siku ya tarehe 20 mwezi 3 mwaka huu ila toka aanze kuvitumia amekua akisumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi amezidi kupoteza furaha ile ya awali nimewasiliana na Dr. Kanishauri nisubiri japo kwa wiki mbili ndo nimpeleke hosptal na leo siku ya sita japo analalamika sana swala la usingizi kukosa kabisa sijakata tamaa na Dr. Ila kama kuna mwenye kujua zaidi juu ya hili anaweza nishauri au nisaidia kabisa namba zangu ni 0757978499View attachment 1053525
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo si issue ya kupewa rafiki ni issue ya admini kumeza. na ukiona hivyo basi ujue huyo hana ugonjwa huo
Hapo si issue ya kupewa rafiki ni issue ya admini kumeza. na ukiona hivyo basi ujue huyo hana ugonjwa huo
Nimeipata kwa undani nashukuru sana naanza kufunguliwa nashuru kwa msaada .MIMI SIO DOKTA NI GOOGLE MASTERHaldol
haloperidol) is an antipsychotic drug that decreases excitement in the brain. Haldol is used to treat psychotic disorders like schizophrenia, to control motor (movement) and verbal (for example, Tourette's syndrome) tics and is used to treat severe behavior problems in children. Haldol is available in generic form. Haldol is not approved for use in older adults with dementia because of increased chances of death during treatment. Common side effects of Haldol include:
nausea,
vomiting,
diarrhea,
dry mouth,
nervousness,
headache,
dizziness,
spinning sensation,
drowsiness,
sleep problems (insomnia),
restlessness,
anxiety,
skin rash,
itching,
spontaneous eye movements,
mood changes,
breast enlargement,
irregular menstrual periods,
loss of interest in sex,
blurred vision,
difficulty urinating or urinating less than usual, and
occasional movement disorders
Severe side effects of Haldol include:
death in the elderly,
prolongation of the QT heartbeat interval,
tardive dyskinesia (involuntary movements), prolonged erection (hours),
a symptom complex sometimes referred to as neuroleptic malignant syndrome (NMS) with fever,
irregular heartbeats,
mental status changes, and
renal failure
Haldol is available in sterile vials containing 5 mg strength Haldol per 1 ml of fluid used for injection. Usual starting dose is 2.5-5 mg intramuscularly. Dose may vary according to patient response to the drug. Switch to an oral form of this drug is recommended as soon as possible. Haldol may interact with other drugs so the patient needs close observation or monitoring to determine if other side effects develop. Haldol should only be used during pregnancy or in women likely to become pregnant only if the benefit clearly justifies a potential risk to the fetus; fetal abnormalities and fetal exposure to Haldol in the third trimester have shown dependence at birth. Women who are breastfeeding should not take Haldol because the drug may affect the infant. Although reports of use for behavior modification exist, the drug is not approved for use in children.
Our Haldol Side Effects Drug Center provides a comprehensive view of available drug information on the potential side effects when taking this medication.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nini kifanyike ndugu yangu maana hali niteteHapo si issue ya kupewa rafiki ni issue ya admini kumeza. na ukiona hivyo basi ujue huyo hana ugonjwa huo
Duh inaumiza hasa kama dr. Kaamua kupita shortcut vp naweza fanya nini maana ndo alishameza na vipi naweza msaidia kumaliza tatizoHizo dawa kapewa mapema sana.
Hizo dawa wanapewa watu ambao wameshapimwa na kugundulika wana matatizo ya akili.
Sasa yawezekana mkeo alikuwa bado hajafikia huko kabisa.
Nauhakika alikuwa kwenye msongo mzito wa mawazo. Maana msongo wa mawazo una matabaka mbali mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. nenda hospitali tofauti ili upate opinion ya psychiatric dr mwingine, wasimulie life style ya mgonjwa kabla na mwanzo wa tatizo
ShukraniDah pole sana blaza. Nashindwa cha kukusaidia ila jikaze tu shemeji atapona.
Sky Eclat tia neno hapa aisee.
Nashukuru sana.Kesho nakuja na ushauri kuwa na amani mkuu, shemeji atakuja kaa sawa.
Na kwa msaada nitaku PM namba ya Dr wa matatizo ya akili na imani atakusaidia mkuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa leo nitamchukulia japo jana ilibidi nimpe valium kidonge kimoja naona kaamka misuli imeachia na kalala kwa muda mrefu nashukuru kwa ushauri mzuri.Kama ameandikiwa haloperidol asiache kunywa. Ukienda pharmacy kuna dawa za usingizi zinauzwa bila prescription kama kalms au nytol hizi ni herbs.
Majibu vipi zilimsaidia kumaliza tatizo auHizo dawa tulikuwa tunampa braza angu, nae alipatwa na mauza uza. Anaongea kama cherehani anyamazi yani iwe asubuhi iwe mchana iwe usiku anajipigisha story mwenyewe!
Hadi akadhoofu kama mtu mwenye ngoma yani! Zilikuwa zinamsaidia alale usingizi usiku kwa kuleta usingizi mzito hatimae analala japo kwa masaa hata 5. Japo zilikuwa na combination ya dawa zingine sikumbuki kwa jina.
Kiasi chake ila hajapona kabisa.