kiboje
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 377
- 62
Kula vitu hivo aibu zote zitaishaaa! (Did i just say that? Tell me i did not!)
Aaaaah! Serious?
Kula vitu hivo aibu zote zitaishaaa! (Did i just say that? Tell me i did not!)
haahaa zimejaa tele tuu hujabahatika tu kukutana nazo !
haahaa zimejaa tele tuu hujabahatika tu kukutana nazo !
Ndugu zangu nimekuja kwenu kutaka ushauri mimi ni kijana mwenye umri wa 26 years nimetokea kumpenda binti mmoja kiukweli kwa mtazamo wa macho yangu naona dunia nzima hakuna kama yeye.Basi mtoto wa kiume nikajitosa kuchana mistari kiukweli binti akaniambia niende kwao basi nikamwambia mzee wangu kwani sisi tamaduni zetu mzazi ndie anantole mahali basi tangu hapo binti ananiogopa sana yaani nikutana nae anazuka ameangusha kitu anainama hawezi kuniangalia usokwa uso sasa jamani nisaidieni hivi hiyo na nyinyi imewahi kuwatokea?na inasababishwa na nini?
Mkuu, usibishe, wapo tena kibao and you can't beliave, wengine hata age imesogea kabisa, kuna uzi humu (nimesahau nani aliutuma) mwenyewe alikua akionekana kulalamika kwa ushauri alioupata kwa mama yake, mamaye alimshauri asimpe mwanaume yeyote hadi aolewe and if i am not mistaken, yule she alikua na miaka 32 if not 28!Bikra..??? Siku hizi, labda za ndimu....