Bikra..??? Siku hizi, labda za ndimu....
Wewe hamna cha ndimu wala nn wapo watoto waliostaarabika balaaaaa
Bikra..??? Siku hizi, labda za ndimu....
unataka kunambia wanaozaliwa sikuhizi wanaziacha tumboni mwa mama zao au?
yaani huyu sili mzigo nasubiri ndoa mwezi wa 12
Kula vitu hivo aibu zote zitaishaaa! (Did i just say that? Tell me i did not!)
mh!? we uchizi wako nini?
Yule shoga yako pale jirani ambaye huwa hakosi kanisani kila Jumapili na hata katikati ya wiki mwambie awe anakupitia mara moja moja unaenda naye kanisani kwao. That way you will come to make an excellent literate wife, believe me. As of now, you are not, I guess!
OUUUUUUUUUUUCH!!!!!!!!!!!!!!!!! Thats rude man!!!!!!!! UNECESSARLY RUDE! You cut me deep! I am not a CHURCH GOER BUT IM A BELIEVER!!!!!!!!
Im a wife material it just depends on YOUR DEFINITION OF A WIFE!
hizi makitu hapo bold zinapatikana wapi siku hizi? zimekuwa adimu kama ajiraNi kawaida kwa msichana kuwa na aibu mbele ya mwanaume anayemtaka kimapenzi! Na hasa kama ni bikra!
If my message deeply/sharply pierced in your heart, then it has signaled you something very important, you would better work on it. Yes, definition of a wife is dependent on the chooser. I conquer with you for I am being a bit selfish to monopolize the defining factors/qualities of a best wife.No one is faultless!
lara 1 mdogo wangu twende taratibu. usihofie public unless you are wrong! Hofia kitu ambacho nafsi yako wewe binafsi inakusuta hata kama hakiko public. That way you will become the BEST YOU. Kama utakuwa unakuwa comfort yako inategemea sana kuswemwa vizuri kwenye public bila kujali uko sahihi ama la, then utaishi maisha magumu sana, sawa tu kama vile mtumwa.Its not your message men! ITS HOW YOU CONDEMNED ME IN PUBLIC WITHOUT OF THINKING TWICE THERE MIGHT BE A VERY LITTLE TINY POSSIBILITY THAT YOU MIGHT BE WRONG!!!!!!
lara 1 mdogo wangu twende taratibu. usihofie public unless you are wrong! Hofia kitu ambacho nafsi yako wewe binafsi inakusuta hata kama hakiko public. That way you will become the BEST YOU. Kama utakuwa unakuwa comfort yako inategemea sana kuswemwa vizuri kwenye public bila kujali uko sahihi ama la, then utaishi maisha magumu sana, sawa tu kama vile mtumwa.
Kula vitu hivo aibu zote zitaishaaa! (Did i just say that? Tell me i did not!)
u sound like one us!!!!!Kula vitu hivo aibu zote zitaishaaa! (Did i just say that? Tell me i did not!)
Aagh! Nikiutaja hapa itakua si muzuka mazeeee!
Embu jaribu kufikiria wazimu wako kwanza! Then niambie unaweza kuuanika hapa kweli!
hizi makitu hapo bold zinapatikana wapi siku hizi? zimekuwa adimu kama ajira
miye sina uchizii, ndo mana nkakuliza weye mwenzangu wako upi?
Kwa ugwadu atakaokuwa nao, akipiga goli la kwanza anapata na kifafa cha muda!Ni kweli Kamati, fanya mpango mkatoe posa kisha uanze vikao vya kamati ili ifikapo disemba Kamati ule mzigo bila pupa wala woga.