Umeona eeehh... tena utasikia aaa...!! Kumbe wa kawaida saaana, hapo baada ya kumpata wakati demu ndio anajua kapata mwanaume, labda ahadi kibao ulimpa, labda ukamwambia unatengeneza hela,nakwambia hizi chenga hiziNi kweli kabisa! Wanaume wengi wanakuwa na ma-speed ya kumfuatilia demu, lakini wakishaonja basi. Tena wanamuona demu ndiye msumbufu pale anapopiga simu au kutaka waonane.
Oohh yes umesema sahihi kabisa, demu wa kumpata ukaendelea nae ni mara chache sana, inategemea ndani ulikuta nini, kama ni Gold kweli uliyotamani au ni chuma iliyopakwa rangi ya gold, kaaazi kweliusemayo ni kweli kwa asilimia fulani, nishawah kumtia demu mara moja nikampotezea kabsaa ingawa yeye ndo kwanza alikuwa ameanza kupendezwa na mm.....pia nshawah kumtia demu, na kila wakati nikawa natamani niwe naye pamoja...faragha na public places!hii inategemea sana na ulichotegemea kukikuta kama utakikuta kweli kama ulivyodhania, ama vinginevyo.
Wengine sisi speed ndo tunaongeza...
heheee! Hongera.
Mambo vip? Nimekumiss!
Ingawa ni vibaya lakini kwangu mimi mengine mnayasababisha wenyewe. Unamtongoza. Anakubadilisha kuwa ATM. Asubuhi credit, mchana umwachie lunch mahala, jioni nauli. Weekend kitimoto na heineken ukiwa na marafiki 2. Mara nyingi ukimfanya hivyo mwanaume, anaweza kuongeza dau maradufu. Ukiliwa tu, jamaa anakata mwawasiliano.Mnafanya vby kaka zetu hebu chukulia kama dada yako ndo anafanyiwa hivyo, kuweni na ubinadamu basi.
Yaani mkuu, umeongea vitu ambavyo vipo sana tu hata kwangu...Vuuuuuppp!!!!Naongea kwa uhalisia & hisia, kwa kutumia uzoefu, Bujibuji ataongezea, wanaume wengi akisha do na demu, ooohh...!! ndio mwanzo wa kuanza kumpiga chenga demu mara kibao, especially akimla wengine hata mara moja ikiwa ndio mwisho, tena wanaume husema ningejua wala nisingehangaika vile, kumbe wala huyu demu hana lolote, sometimes kimoyomoyo bila kunena, ila kwa upande wa mademu ndio kama anaanza kupenda, anategemea mwanaume ampende zaidi, ataona jamaa haeleweki kabisa, mara too busy, hii ni kweli kabisa, ukisha mtia demu, mara nyingi wanaume wanaanza mbele, na kumwona mwanamke thamani si kubwa kama kabla ya kumpata kwa sex, that is it
Ndiyo maana mimi nimepunguza kutogoza hovyo na ku-control tamaa za mwili wangu lakini ukijirengesha sikuachi lakini ujue na urafiki ndiyo mwisho maana ni kisha ku-do nitakuona kama condom niliyoitumia na sijui kwanini..wito wangu kwenu muwe makini si kila anae kutongoza unamvulia ngu...Mnafanya vby kaka zetu hebu chukulia kama dada yako ndo anafanyiwa hivyo, kuweni na ubinadamu basi.
kwani huwa wana sikia..na raha ya kutongoza usumbuke siyo kirahisi kasha kuvuria chupi haaa..Mkiwaambia hayo mnatupa ugumu kutongoza...
Alaa...eye opening this is!