Baada ya kumaliza shule

Baada ya kumaliza shule

hb81

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
289
Reaction score
181
Baada ya kula cheti changu cha shule adhabu yake ndo hiyo na Mimi kazi sina

1469891749638-jpg.373478
 
Attachments

  • 1469891749638.jpg
    1469891749638.jpg
    24.1 KB · Views: 161
Hahaaa mkuu umenikumbusha mbali mimi alikula kitambulisho changu cha sekta nyeti kusema ukweli nilifanya jitihada zote za kumshika akiwa hai na kweli mungu sio jecha nilipomkamata nilienda kununu bomba la sindano na maji ya betri yale makali dadeeki nilimpa drip za kutosha hadi akaenda kwa mola
 
Mkuu umenichekesha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaa mkuu umenikumbusha mbali mimi alikula kitambulisho changu cha sekta nyeti kusema ukweli nilifanya jitihada zote za kumshika akiwa hai na kweli mungu sio jecha nilipomkamata nilienda kununu bomba la sindano na maji ya betri yale makali dadeeki nilimpa drip za kutosha hadi akaenda kwa mola
Fideo please
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi roho mbaya tu.
 
Dawa ilobaki ni hiyo mkuu huwa kule kati kuna kauli tunasemaga usikionee huruma kiumbe usichokizaa
 
Ungempeleka SUA wanawafundisha hao kufanya kazi asizoweza binadamu wa kawaida. Au kula yeye!
 
Back
Top Bottom