nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,742
- 12,035
Hizi hasira zinazotengenezwa kwa wananchi ni hatari sana.Fikiri mtu umehangaika,umejinyima ukapata ka mtaji kako,ukajiajiri kama wao wanavyotaka.
Ukalipa kodi yao kama wao wanavyotaka
Mwenye kiwanda kawekeza..kama wao wanavyotaka
Mwenye kiwanda cha viloba nae kalipa kodi kama wao wanavyotaka
Ghafla mwananchi muuzaji(aliyejiajiri) anaambiwa viloba mwiko na stock anayo...
TFDA siku zooote walikuwa wapi????,mbona wao wapo kimya? kazi zao ni nini hasa?
Kuku wa nyama (broilers) nao wapigwe marufuku manake madhara yake ni makubwa kuliko viloba,lakini hapa TFDA kimya.