Baada ya kula tunda sioni kitu 'special' kwake

Weka japo picha yake basi tumuone, ili tuchangie vizuri...
Sasa kama ndio upo hivyo si utakufa kwa ukimwi... Maana utakuwa ukimaliza nyege zako unatupa unatafuta mwengne
ndo naachana na huu mchezo coz hakuna jipya zaidi ya housing...
 
Punguza tamaa za kimwili, kama una uwezo wa kuowa tafta wa kuowa utainjoy, mali itatulia na utakua na familia bora kabisa. Ukitembea na wengi unajipunguzia hadhi na baraka ktk maisha yako.
kweli kabisa, hata nyege zenyewe haziishi
huu si wendawazimu wa kutamani vyakula visivyoshibisha
 
Aaah mademu wa kuwasoteaga huwa hupati kile ulichotegemea na wala hupati ule utamu.Ila wale wa ghafla hukutegemea weeeee,na penzi huota mizizi mpaka kujenga kiwanja cha world cup.
 
I am full blood boricua
Reads the tattoo on her arm
she tells me 'daddy, I need you'
And my heartbeat pumps so strong
Getting lost in el ritmo
she whispers te quiero, te quiero
I begin to give in with no hesitation
Can't help my infatuation, it's pure infatuation.
 
Aisee hizi ndo itakua zile wanazosemaga zikizidi mbele zinaamia back,,,, just joking
 
Back
Top Bottom