Weza
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 118
- 78
😀Utakuwa ulikula raw materials za vumbi la Kongo.
Delta Force
😀Utakuwa ulikula raw materials za vumbi la Kongo.
Delta Force
Yqani asifanye wenzie wale visado vya bamiaUtafanya mabamia yapande bei gengeni/sokoni.
Duh, mara paa kimashine chako kinalendemka kama juice ya bamiaMkuu nizitafuta bamia nifanye experiment hiyo then nitakurudia, mke wangu sasa hivi yupo period ngoja ipite kama wiki hivi nimounyeshe shoo, na alivyokuwa na mashine mnato, atanikoma mie na bamia.
Weza una shamba la bamia nije kuwa mteja?Duh, mara paa kimashine chako kinalendemka kama juice ya bamia
Haahaaa sina ila natengeneza juice na soup ya bamia njoo tu uwe mteja wangu aisee🤣 hutajuta haahaaaWeza una shamba la bamia nije kuwa mteja?
Kwa wanawake bamia zinaleta utelezi murua kabisaNataka niwe na nguvu za kike hadi nikiwa kazini nalia genye ngoja nikanunue bamia gunia bei sitajali.
Hah hah haaaaaHabari zenu
Wakuu last week nilikuwa na dalili za vidonda vya tumbo so kuna mzee mmoja mtaalam wa madawa ya mitishamba akanishauri kuwa nitumie bamia kwa wingi kwani huwa zinaleta utelezi tumboni hivyo husaidia vidonda kupona kwa haraka.
Hivyo nikafwata ushauri wake wa kufakamia bamia kwa wingi yaani kila siku nilikuwa nakula bamia za 1,500 nilikuwa nakula baada ya kuzichemsha
Lakini bila mimi kujua kama natengeneza bomu la nuclear nikazifakamia kwa siku tatu mfululizo nikijua natibu vidonda vya tumbo
Lakini wakuu kilichonitokea sitosahau kwani siku ja jumamosi wakati naamka kwenda kazini mida ya saa 11 asubuhi nilijishangaa nikiwa na hali ya ajabu sana nikimaanisha kuwa (mashine) ilikuwa imesimama kama ukuni ikiwa imekaza sijawahi kuona
Nikasema labda ni hali ya kawaida kwa mwanaume kudinda asubuhi hivyo niendelee kujiandaa niwahi kazini. Lakini kilichonichanganya zaidi ni kuanzia ile saa kumi na moja asubuhi mashine iligoma kabisa kulala hadi mida ya saa mbili asubuhi mashine inaangalia juu tu
Kazini kwenyewe nilishindwa kwenda na sehemu yenyewe nnayoishi nimepanga chumba na hata Goma la kupunguza nyege ndani sina yaani nipo singo tu. Hivyo siku nzima nikaishia kujifungia ndani tu hata kuoga nilishindwa kwenda maana uswahilini nyumba za kizaramo wanawake kujianika nnje ndio zao
Bamia zina nini?
Wee weee inalalaje kwa mfano mbele ya mbunyeDuh, mara paa kimashine chako kinalendemka kama juice ya bamia
Hii kitu ni kweli kabisa ukila bamia ya kuchemsha tu kwa wiki moja mfululizo inaleta Shida sana. Yani machine inasimama na unapata genye sana. Ole wako uchanganye na Buternut pamoja na mbegu zake ndio utajua maana halisi ya natural viagra
Tuheshimu Wanaume wa Dar es salaam![]()
![]()
![]()
![]()
Bei ya bamia yapanda ghafla huko Daslam....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
imewahi kukutokea?Pole sana bamia inatabia hiyo kama vidonda vimetulia Acha utabaka ukafie jela
Kivipi?Kwa wanawake bamia zinaleta utelezi murua kabisa
nmecheka mpaka nmejamba kiaina aseeBamia ulizokula zikasimamisha bamia yako...![]()