Baada ya kula bamia kwa wingi uume umegoma kulala

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,695
Reaction score
13,324
Habari zenu

Wakuu last week nilikuwa na dalili za vidonda vya tumbo so kuna mzee mmoja mtaalam wa madawa ya mitishamba akanishauri kuwa nitumie bamia kwa wingi kwani huwa zinaleta utelezi tumboni hivyo husaidia vidonda kupona kwa haraka.

Hivyo nikafwata ushauri wake wa kufakamia bamia kwa wingi yaani kila siku nilikuwa nakula bamia za 1,500 nilikuwa nakula baada ya kuzichemsha

Lakini bila mimi kujua kama natengeneza bomu la nuclear nikazifakamia kwa siku tatu mfululizo nikijua natibu vidonda vya tumbo

Lakini wakuu kilichonitokea sitosahau kwani siku ja jumamosi wakati naamka kwenda kazini mida ya saa 11 asubuhi nilijishangaa nikiwa na hali ya ajabu sana nikimaanisha kuwa (mashine) ilikuwa imesimama kama ukuni ikiwa imekaza sijawahi kuona

Nikasema labda ni hali ya kawaida kwa mwanaume kudinda asubuhi hivyo niendelee kujiandaa niwahi kazini. Lakini kilichonichanganya zaidi ni kuanzia ile saa kumi na moja asubuhi mashine iligoma kabisa kulala hadi mida ya saa mbili asubuhi mashine inaangalia juu tu

Kazini kwenyewe nilishindwa kwenda na sehemu yenyewe nnayoishi nimepanga chumba na hata Goma la kupunguza nyege ndani sina yaani nipo singo tu. Hivyo siku nzima nikaishia kujifungia ndani tu hata kuoga nilishindwa kwenda maana uswahilini nyumba za kizaramo wanawake kujianika nnje ndio zao

Bamia zina nini?
 
Ushaipa Promo bamia...zinauzika hii wiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hizo story ni kweli au ni porojo? mbona unataka bamia zipande bei?
 
Ningekuwa muongo ningetaja mkuyungu ili mnitafute inbox niwauzie

But nimekuwa nkweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nizitafuta bamia nifanye experiment hiyo then nitakurudia, mke wangu sasa hivi yupo period ngoja ipite kama wiki hivi nimounyeshe shoo, na alivyokuwa na mashine mnato, atanikoma mie na bamia.
 
Back
Top Bottom