mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Ma ded hawatapona ujinga wao wa kuwaacha Ma HRO kuratibu wizi huu
Kwenye Halmashauri hasa za miji, mikoani kuna tabia ya kutumia salari slipu za watumishi waliokuwa wamefariki nk
Ukimuuliza mtumishi wa kijijini, ..kama akienda kutafuta salari slip zake anazipata? uliza uone, somtime hawapewi..unajua zinafanyia kazi gani?
Kabla ya kukamata watumishi hewa, hili lilikuwa dhahili hii kitu iliendelea kwa watumishi manesi na walimu pamoja na watendaji vijijini kufanyiwa hii kitu kwa ushirikiano wa DED,HRO, Upande mmoja na Benk upande wa pili.
Hivi karibuni kuna watumishi walikatwa mikopo, walipokuwa wakali benk, Mameneja walisaidia kugundua huu ujinga, majibu ya ma loan ofisa ni at unakatwa kimakosa, wanatafuta namna ya kukurejeshea. Hii kitu ipo wa msiojua.
Acheni watu wakaroge maana haya mambo si madogo