Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,917
Hivi kuna nia ya dhati kweli juu ya zoezi hili la kubaini watumishi wa umma wenye vyeti feki?
Nauliza swali hili kwasababu tangu agizo litolewe,nimemsikia Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora akisisitiza juu ya zoezi hili mkoani mwake na zaidi nimesikia kukamatwa kwa watumishi 11 wenye vyeti feki wakiwa ni watumishi wa Idara ya Afya mkoani Mbeya.Zaidi ya hapo mimi binafsi sijasikia la zaidi sijui labda nyinyi wenzangu kama mna taarifa ziingine juu ya zoezi hili.
Nachojiuliza mbona hatuwaoni ma-RC na maboss wao wakifiatilia utekelezaji wa zoezi hili kama tulivyoona katika zoezi la kusaka watumishi hewa?
Hapa si bure kuna kitu maana hata yule RC maarufu nae hatuoni mbwembwe zake katika hili!
Alafu hivi hili zoezi hata Bungeni limetajwa /limegusiwa kweli?
Anyway,time will tell.