Baada ya kujaziwa matukio ya Makinikia, IPTL, wananchi, wabunge, hawajaijadili bajeti!

Dawa yao ni kurekebisha tu sheria,asiepitisha bajeti chama chake hakipati ruzuku,bajeti wanapinga lakini posho na ruzuku ndio wa kwanza kudai
Bajeti isiyofikia hata 40% inastahili kuitwa Bajeti? Ilipaswa kutopoteza muda kujadili mashudu ya Dr. Mpango! He is the most failure MoF ever! It is worth serving your calories rather than voting for Bajeti Hewa yenye maagizo too Juu kuwa lazima ipite kwa Kishindo!
 
Wabunge wa CUF ya Lipumba, Magdalena Sakaya na Abdalla Natupa wameipigia NDIYO bajeti. Ni haki yao tusiwahukumu. Hata CCM wangeweza kusema HAPANA kama hawaridhiki. Si kosa.
 
Bajeti isiyofikia hata 40% inastahili kuitwa Bajeti? Ilipaswa kutopoteza muda kujadili mashudu ya Dr. Mpango! He is the most failure MoF ever! It is worth serving your calories rather than voting for Bajeti Hewa yenye maagizo too Juu kuwa lazima ipite kwa Kishindo!
Acha hizo mbona upinzani kwenye posho na ruzuku wanakuwa active sana kuchangia ila maeneo mengine ndio hususa? Likifika kipengele cha kujadili posho na ruzuku wabunge wote wa upinzani huwa ndani na huchangia Sana. Unafiki mtupu
 
Bajeti isiyofikia hata 40% inastahili kuitwa Bajeti? Ilipaswa kutopoteza muda kujadili mashudu ya Dr. Mpango! He is the most failure MoF ever! It is worth serving your calories rather than voting for Bajeti Hewa yenye maagizo too Juu kuwa lazima ipite kwa Kishindo!
Kwani Ruzuku ya chama chenu hamjaiona?kwa nini hamjakataa ruzuku ili tufinance miradi?
 
Tuyazoea hayo,lakini wakati kula ruzuku mimacho huwa inawatoka,dawa yenu ipo jikoni
 
Sasa Bungeni linakosa maana ya kuwa na Upinzani wa mawazo,

Hivi inakuwa vipi mtu kaiona Bajeti mbovu, harafu Anasema Ndio?

Waacheni wasilete Maji tuanze kukatiana vipande vya Nchi,

Wabague waone.
 
Rudi kwenye vigezo vya Ruzuku! Kwenye akili yako unaona ni heri Bajeti isiyo na msaada kwa Wananchi ipite kisa tu Kuna Ruzuku? Kweli we Jingalao!
 
Sasa Bungeni linakosa maana ya kuwa na Upinzani wa mawazo,

Hivi inakuwa vipi mtu kaiona Bajeti mbovu, harafu Anasema Ndio?

Waacheni wasilete Maji tuanze kukatiana vipande vya Nchi,

Wabague waone.
Si bure this is planned na majimbo ya upinzani yatapata tabu sana this budget
 
Tuyazoea hayo,lakini wakati kula ruzuku mimacho huwa inawatoka,dawa yenu ipo jikoni
Ruzuku sii favour ya CCM kwa Wapinzani! Ni suala la Kisheria whether umepiga kura au hukupiga kura, whether ulipiga ya Ndiyo au Hapana! Hakutakuwa na maana yoyote ya kuwa na Bunge la Ndio kwa 100%,hata Mama yako usidhani alimkubali dingi yako 100%! Ni upuuzi watu wote kuwa na akili kama yako!
 
Tunabadili sasa hiyo sheria ya ruzuku tuone
 
Sasa Bungeni linakosa maana ya kuwa na Upinzani wa mawazo,

Hivi inakuwa vipi mtu kaiona Bajeti mbovu, harafu Anasema Ndio?

Waacheni wasilete Maji tuanze kukatiana vipande vya Nchi,

Wabague waone.
Mangiiii popoooooo
 
Sitoshangaa kama miswada ya Sheria ni mibovu hayo ni ya kawaida.
 
Hakuna anayeiona bajeti mbovu bwana,ni kasumba tu ya upinzani kupiga kila Kitu.

Spika amewauliza mbona haya mambo mmeanza wote ktk kamati za Bunge mkiwa wote toka chini kwa nini mnakuja kupinga siku ya Mwisho?

Halafu baada ya miezi mitatu Mbunge uliyepinga unauliza mbona maji,Umeme hakuna ktk jimbo langu?!?
 
Ruzuku sii favour ya CCM kwa Wapinzani! Ni suala la Kisheria whether umepiga kura au hukupiga kura, whether ulipiga ya Ndiyo au Hapana! Hakutakuwa na maana yoyote ya kuwa na Bunge la Ndio kwa 100%,hata Mama yako usidhani alimkubali dingi yako 100%! Ni upuuzi watu wote kuwa na akili kama yako!
Halafu wanasahau kwamba katika majimbo ya wapinzani,Magufuli pia alipata kura hivyo anawajibika kwa ahadi zake kwenye bajeti ya taifa
 
Back
Top Bottom