Indianapolis
Member
- Nov 25, 2018
- 77
- 44
- Thread starter
- #41
Nushauri nitajitahidi kuchukua ushauri hasa wa mademu
Mfundishe ata kufany sijui inaitwa ku quote maan anapata tabu saan,hajui anamjibu nani na anachat na yupiMvimba macho naijua kolomije tu[emoji134][emoji134][emoji134]
Ushauri ni mmoja tu ACHA UNDEZINushauri nitajitahidi kuchukua ushauri hasa wa mademu
Mfundishe ata kufany sijui inaitwa ku quote maan anapata tabu saan,hajui anamjibu nani na anachat na yupi
Mpaka hapo Mshua wako kapoteza hela bure kukusomesha hiyo Secondary...Root ni kusafiri man kitu kidogo kinakusumbua tukiingia computer?
Huyo babako nae ni mvimba macho mwenzetu.. kifupi hata hii jamiiforum inayoitumia ni ya wavimba macho coz founder wake alisoma UDSM ... sasa sijui tukusaidiaje...Sipendi kusoma bongo bongo wanasoma wazee wa karai
Sasa mzee ameniambia mwaka huu nile bata tu atanipeleka chuo mamtoni mwakani nikakutane na classic baby sio bongo tudemu vinanuka jasho tu aya bata bata nikijiandaa kula mwewe sio udom na udsm wamejazana wavimba macho tu nishaurini chuo gani kipo poa kupigia computer science nataka niwe mnyama apo
Bila shaka utakuwa mmakonde wewe... ushamba hamtakuja kuachaUnajua sec nikiyosoma?