Baada ya kuitosa udom na udsm root ya mamton inanukia

Sipendi kusoma bongo bongo wanasoma wazee wa karai
Sasa mzee ameniambia mwaka huu nile bata tu atanipeleka chuo mamtoni mwakani nikakutane na classic baby sio bongo tudemu vinanuka jasho tu aya bata bata nikijiandaa kula mwewe sio udom na udsm wamejazana wavimba macho tu nishaurini chuo gani kipo poa kupigia computer science nataka niwe mnyama apo
Unatak kuwa mnyama kam tid????

Apo nenda kinondoni sijui ndo kwa macheni ila sina uhkika but najua utakua mnyama zaid ya yanga
 
NENDA. TUUUU MWISHO WA SIKU LAZIMA. URUDI. HAPA .HAPA .HAPA HAPA KUJA. KUWEKEA .HAO HAO .UNAOWAITA .TU DEMU .SHAHAWA ZAKO .ILI UKOO UENDELEE.
 
hivi shule za sekondari zinafunguliwa lini...seriously!
Mkuu ucwaze saan
Screenshot_20181207-135804.jpg
 
Back
Top Bottom