Baada ya kuhamia Mbeya, najisikia uchovu isivyo kawaida, tatizo ni nini?

ufumawicha

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
504
209
Wadau mimi nimehamia Mbeya toka Kigoma.Ajabu nimeanza kupatwa na hali nisiyoielewa bado.Yaani kila ninapoamka nakuwa nimechoka sana mithili ya mtu aliyetoka job.
Mara ya kwanza nilianza kuwa na wasiwasi hasa kuhusu makazi nikidhani labda ni sababu ya nyumba zetu hizi za kupanga lakini ajabu nimeshahama nyumba tatu lakini hali hii iko pale pale.Wadau naombeni ushauri wenu na si mizaha.Mimi niko serious!!!1
 
Dalili za TB hizo,nenda hospitali yoyote ya serikali,kapime makohozi,mate na damu halafu lete mrejesho
 
Ili uwe salama mahali popote pale lazima ubelong completely kwa either Mwenyezi Mungu aliye hai au kwa shetani, na si kotekote. Ingawa ukiwa kwa shetani utakuwa salama kwa kitambo kifupi tu cha hapa duniani. Kwa hiyo chagua hii leo
 
Hapo labda inaweza kuwa ni tofauti ya hali ya hewa kati ya mikoa hiyo miwili,chakula cha huko,maji au uchovu wa kawaida kutokana na safari, n.k ondoa wasiwasi
 
Kama umetokea pwani (low attitude ) kuna high concentration ya Oxygen, mbeya ni high attitude na concentration ya oxygen ni ndogo hivyo unakuwa na hali ya kuishiwa nguvu. Ila haitapita muda mrefu utakuwa safi maana Mwili utarekebisha uwezo wako wa kuchukua hiyo oxygen chache vizuri.
 
Ili uwe salama mahali popote pale lazima ubelong completely kwa either Mwenyezi Mungu aliye hai au kwa shetani, na si kotekote. Ingawa ukiwa kwa shetani utakuwa salama kwa kitambo kifupi tu cha hapa duniani. Kwa hiyo chagua hii leo
Bado sijakuelewa unamaanisha nini?
 
jinsia yako ni ipi please. nijibu kwanza ili nione namna ya kukushauli
 
Back
Top Bottom