Baada ya kuchoka kujisomea...

Baada ya kuchoka kujisomea...

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Mwanafunzi kajisomea muda mrefu,kachoka na wala haelewi anachokisoma.Akaamua ku-flip coin ya sh.50,akasema;ikidondokea upande wa Mwinyi>nitalala.Ikidondokea upande wa Vifaru>nitaangalia movie.Ikisimama wima>nitaendelea kujisomea.
 
Hahaha....ikisimama aende kuzurula maana ni awamu ya Nne hiyo, full misele.
 
huyo alikuwa hana nia ya kuendelea na kujisomea.
 
Na bahati nzuri ikasimama dede.
OTIS
 
Bahati mbaya imesimama mbona kachoka mwenyewe, sasa anarusha mara ya pili
 
Back
Top Bottom